CRDB Kitengo cha Refunds Acheni wizi

CRDB Kitengo cha Refunds Acheni wizi

Me nachokiona cha msingi night kuwasiliana nao kupitia namba zao za call center upate msaada WA haraka kuliko kuita watu waje watoe ushahidi ambao hawako katika Hali kama yako kwasasa. Wanapatikana kwa namba 0714197700 , 0789197700 na 0222197700 kaka Sema nao usikie wengine tunaendelea kufurahia huduma zao kill kukichaa na kuchanja kadi kama kawaida tushinde twende dubai.
 
Nyingine ni 0222134765 kitengo na +255768333221-Idard huyu ndo in charge/manager wa kitengo
 
Me nachokiona cha msingi night kuwasiliana nao kupitia namba zao za call center upate msaada WA haraka kuliko kuita watu waje watoe ushahidi ambao hawako katika Hali kama yako kwasasa. Wanapatikana kwa namba 0714197700 , 0789197700 na 0222197700 kaka Sema nao usikie wengine tunaendelea kufurahia huduma zao kill kukichaa na kuchanja kadi kama kawaida tushinde twende dubai.
Umesoma alichoandika vizuri na kumuelewa? Kama wasipoweza kumtatulia shida yake bado atarudi hapa hapa
 
Kaka pole kwa hilo
Ila mimi naamini CRDB Bank Plc sio bank ya wazungu ni bank inayomilikiwa na watanzania so unapo kua na shida hiyo ni vizuri ukafika bank ukauliza vizuri ukapewa utaratibu mzuri na ukaweza kutatua matatizo yako

Pili naamini ulivyo wezeshwa kufanya online purchase uliverfy card yako kwa kuclick VBV ile ni veryfied By Visa that means transaction zako zote ziko secured so ni dispute ambayo bank kama bank lazima ijiridhishe ili iweze kurudisha pesa yako maana visa atahusika tuu

Tatu kaka ni heri chizi ulie mzoea kuliko chizi mgeni ukisema uhamie kwa bank nyingine wewe utakua sio problem solver oriented why hutaki changamoto kwenye maisha yako while unaishi kwa dunia ya changamoto. Ila tatua ili ulioko ako nako ndo ukihamia kwa bank nyingine unakua umejifunza ikitokea kitu kama hii unafanyaje otherwise huko napo ikikuja kukukuta also you will speak the same story in the forum

So kindly be polite go and ask for more information and i know crdb ako managers directors they will assist you what i know no money inayoweza potea kwa bank ask about procedures of refund then they will tell you very well.
 
Huyu jamaa anajifanya banker lakini mweupe kishenzi... nadhani atakuwa ama mfunga voucher au Teller (I don mean to insult) na ndio maana hata banking transactions zinavyoenda hajui!

Mkuu uko sawa kabisa hizi issue sio kila banker anazijua ni tu staff wa kitengo wanao uelewa unaweza shangaa ukaenda tawini kutafuta msaada lkn utashangaa nao wanapiga simu ktk kitengo kuuliza km sisi wateja tunavyopiga simu
 
Kaka pole kwa hilo
Ila mimi naamini CRDB Bank Plc sio bank ya wazungu ni bank inayomilikiwa na watanzania so unapo kua na shida hiyo ni vizuri ukafika bank ukauliza vizuri ukapewa utaratibu mzuri na ukaweza kutatua matatizo yako

Pili naamini ulivyo wezeshwa kufanya online purchase uliverfy card yako kwa kuclick VBV ile ni veryfied By Visa that means transaction zako zote ziko secured so ni dispute ambayo bank kama bank lazima ijiridhishe ili iweze kurudisha pesa yako maana visa atahusika tuu

Tatu kaka ni heri chizi ulie mzoea kuliko chizi mgeni ukisema uhamie kwa bank nyingine wewe utakua sio problem solver oriented why hutaki changamoto kwenye maisha yako while unaishi kwa dunia ya changamoto. Ila tatua ili ulioko ako nako ndo ukihamia kwa bank nyingine unakua umejifunza ikitokea kitu kama hii unafanyaje otherwise huko napo ikikuja kukukuta also you will speak the same story in the forum

So kindly be polite go and ask for more information and i know crdb ako managers directors they will assist you what i know no money inayoweza potea kwa bank ask about procedures of refund then they will tell you very well.

Mkuu umeongea umeongea vizuri sn ila point of correction hizi refund pesa huwa zinapotea kabisa na watu tulishapoteza sn mfano kuna mdau kasema policy za visa refund ziko valid for 145 days but for master card is only 30 days sasa km hutopata ufumbuzi for 30 days in case of master card si ndo pesa kupotea???
 
Boss naamini kama umefwatilia bank na ukarise dispute bank that means uko kwa safe side so ni bank ndo inapaswa kukuhudumia .
 
Mkuu uko sawa kabisa hizi issue sio kila banker anazijua ni tu staff wa kitengo wanao uelewa unaweza shangaa ukaenda tawini kutafuta msaada lkn utashangaa nao wanapiga simu ktk kitengo kuuliza km sisi wateja tunavyopiga simu
Kaka elewa division of labour and specialisation wewe hapo ulipo huwezi ukafanya kila kitu perfectly ukiwa kwa biashara or kwa any taasisi lakini kitu kikija kwa uwanja wako you are more efficient so lazima ujue kila ofisi iko na utaratibu wake ila what i know watanzania ni wavivu sana wa kufwatilia vitu lakini kwa imani yangu issue ya refund ni simple sana kikubwa ni kuseek imformation from the bank then utapewa tuu because bank without customer is nat a bank wadau.

Mtoa uzi nimekuelewa sana i hope toko kwa pamoja
 
Mpaka ninavyoandika hapa ni returns za takribani Euro 400. Yapata miezi miwili sasa. CRDB International House nahisi ndio wanaosababisha kadhia hii kwa wateja. Kuna mtu amenishauri niumie Kado za Exim. Hawana usumbufu wa aina hii and kwa wateja.
Exim hakuna online purchase
 
Natumia huduma ya kadi kufanya manunuzi online na kwa muda mrefu nimekuwa nikinunua vitu online kupitia paypal (gateway) lakini huwa inatokea muda mwingine nikanunua kitu halafu seller akashindwa kuleta nafungu kesi paypal na baadaye seller anaamua kunilipa (refund) lakini cha ajabu nikishalipwa na seller hela yangu huwa hairudi kwenye akaunti. Na mara nyingi nikirudishiwa hela paypal nao huwa wananitumia email kwamba nimerudishiwa hela na kwakuwa huwa nanunua kwa kutumia CRDB Visa Card hela yangu huwa inarudi kwenye akaunti yangu.

Hivi karibuni yapata kama mwezi mmoja na siku kadhaa hivi nilifanya transaction online ya $139.99 ambayo kwa hela ya kibongo ni kama 316,632 Tsh. Baadaye seller akasema kwamba ameishiwa na stock kwahiyo atarudisha hela yangu ili baadaye akiwa na bidhaa stock atanitaarifu nilipie tena. Baada ya siku tatu seller akanitumia meseji kwamba ameni-refund tayari na baadaye paypal wakathibitisha kwamba nimerudishiwa hela na imerudi kwenye akaunti yangu. Niliwasiliana na watu wa customercare kwa email nikawaambia juu ya suala hilo nao wakawasilisha kwenye Idara ya Refunds, baada ya hapo nikapokea email kutoka kwao kwamba niwatumie receipt ya refund hiyo kwa pdf nikafanya hivyo na nikawatumia na refunds zangu za nyuma ambazo kwa kipindi chote sikuwahi ziona kwenye bank statement yangu kama zimerudi.

Sasa cha ajabu tangu niwatumie hizo receipt hadi leo ni mwezi mzima hakuna mtu yeyote aliyetoa jibu kwamba nini kinaendelea, nimewaandikia emails zaidi ya saba hawajibu na nimewasiliana na watu wa customercare wanasema tatizo lako tumeliwasilisha wanalishughulikia. Lakini cha ajabu kwa kipindi hiki chote ninachosubiri kupata majibu kutoka kwao kuna harufu ya wizi naiona. Kuna thread kama hii niliisoma hapa kwenye jukwaa inaelezea jinsi wanavyoshirikiana kuzila hizo pesa za refunds kwa kugawana kuanzia kwa wakubwa wa vitengo hivyo ndio maana kwenye suala langu la kudai refunds zangu kuna kigugumizi kikubwa.

Najua kuna wengine wanaweza kuwa na experience kama hii nawaombeni mjitokeze hapa maana nafikiri hii siyo misingi bora ya utoaji huduma especially kwa Benki kubwa kama CRDB ambayo wateja wengi tunaiamini. Inaweza kuwa kuna watu wachache wanafanya hizo mambo na kuichafua Bank lakini nashangaa hata watu wa customer service nao kutojibu querry za wateja ni maadili ya kazi zao?
$139.99 sawa na Laki 2 na themanini na senti kadha hata laki3 haifikii man
 
Tuwe wa kweli jamani, ndio maana watu wanasema mnawachafua. cashcard ndio nini?
Uneanza vibaya ukweli upi unataka? ulitakiwa kuuliza vizuri tu cashcard ni nini upate majibu sio kuanza uhalo hapo juu

BTW NILIKUA NA REPLY MTU ALIYEONGELEA BANC ABC. Cashcard ni visa card zinazotolewa na bank abc bila kuwa na account bank.. kwa kifupi ni card ambayo utatumia fanya malipo online au kuchukua hela kwenye atms zinazoaaccept visa card..
 
Kama International House wanakuwa wababaishaji hivyo, what about Local houses, naamini wengi wanalizwa na hiyo bank wanashindwa kujitokeza hapa kusema, poleni sana jamaa zangu
 
Guys I have been contacted by the bank today na wameniambia suala langu liko kwenye hatua za mwisho za marejesho na huenda fedha yangu ikarudi leo, japo majibu kama haya nafikiri ningeyapata tangu awali ingekuwa vizuri zaidi maana ningejua muendelezo wa suala hili kuliko kukaa kimya na kutojibu email zangu but anyway asanteni guys kwa ku-share experiences yenu hapa maana sisi ni wateja wa huduma hii ya online na tumekuwa tukipata usumbufu mkubwa, kuna watu wanafanya mass procurement ya huduma mbalimbali kupitia online na inapotokea wanapata refunds huwa wanapata usumbufu mkubwa.
 
Lakini kutoa feedback kuhusu huduma ni jambo zuri. CRDB tunawapenda sana msichukulie maoni yetu kwa ubaya. Kama kasoro zipo ndogo ndogo basi ni kiasi cha kurekebisha tu. Mwisho wa siku mteja anataka afurahie huduma na si kukwazika...
 
Personally, I would let the funds sit in my PayPal account until when I need to use them again, rather than bother with crdb.
 
RKGX,
Maelezo uliyotoa yanafanana na matatizo yangu ya paypal refunds for just about 99.9%.

  • Ukipiga simu customer-care unapokelewa vizuri na unaambiwa tatizo linashughulikiwa (hili jibu nimelizoea mpaka imekuwa ni kama linatoka kwenye automated system)
  • Nikauliza wafanyakazi wa benki husika mmoja akanijibu yeye hajawahi kupata refunds zake za paypal na haamini kama zinaingiaga, mfanyakazi mwingine akasema nijitahidi labda naweza kulipwa (hapo mashaka yakanizidi)
  • Nikaonana na Meneja akanijibu vizuri sana akaniambia nivumilie matatizo yatashughulikiwa tu bila kuomba detail yangu yoyote (nikawa mpole)
  • Nikaenda kufungua akaunti kwenye benki nyingine nikakutana na mtu kaunta akasema yeye na rafiki zake kadhaa walishahama hii benki kwa sababu ya matatizo haya ya refunds, achilia mbali effort walizozifanya kufuatilia bila matunda
  • Nikajaza fomu ya malalamiko na kufatilia kwa e-mail nyingi ambazo zikafowadiwa kwa DCO then a recent refund ikaingia baada ya siku 29 (nikafurahi kwa kweli), madai yangu mengine yenye uhusiano na refunds sijajibiwa mpaka leo
NIKAJIULIZA
  • Nilipokua nafanya online purchases na SCB, refund zilikua zinaflow smoothly bila hassles, kwa nini huku mpaka nijaze fomu?, na nisipojaza fomu ndio nini kinatokea?
  • Kwa nini hakuna majibu yaliyonyooka from customer-care staffs kuhusu matatizo ya refunds ambayo inaonekana ni mengi sana kwa sasa kwenye hii benki kutosha kupewa attention inayostahili
  • Benki inafungaje hesabu zake za akaunti inayocollect refunds? Inafunga baada ya muda gani? Je inazifahamu hizi kero na kama inazifahamu ina interest gani kukaa na hela za wateja kwa muda mrefu na kutuachia frustrations huku tukiwaste efforts kufanya manual follow-ups kwa kitu ambacho kingetakiwa kiwe smoother than automatic
  • Kama ufungaji wa hesabu haupo regular, Je, hali hii haitoi mwanya kwa mfanyakazi wa hicho kitengo na asiye muaminifu kutemper na hizi hela?
USHAURI
  • Wakati benki inajitahidi kutafuta na kuongeza wateja, kuna wateja wanao-ondoka ama kupunguza transactions zao kwa sababu ya matatizo haya ya refunds, wengine nimeona hapo juu wakiomba ushauri wa benki za kwenda, this is alarming!
  • Kitengo kinachoshughulikia refunds kinahitaji refurbishment, either wajipange vizuri ama waongeze staffs kama kazi zimezidi, na kama kuna uzembe wa makusudi basi benki ifatilie
  • Imeandikwa hapo juu, kuna hisia ambazo zipo kwa wateja kwamba hela za refunds zinaliwa na watu ndani ya benki, hata kama hakuna ukweli wowote kwenye hili, benki ni vema itambue kwamba hisia hizi zinadestroy the bond between benki na wateja wake
  • Benki iwaongezee trainings staffs wake wa customer-care na kujenga an internal link which is functional, ili wanapofatilia matatizo ya wateja waweze kutoa majibu sahihi na sio kusema kirahisi ''matatizo yanashughulikiwa''
  • Benki itazame upya taarifa muhimu kuhusu online purchases na refunds, website iweke majibu for all FAQs ambazo zipo related na matatizo ya kila siku ya wateja kuhusu refunds, yanabadilika na kuongezeka kila siku, mengi yameainishwa humu pia
PONGEZI
  • Kwa ujumla benki ina huduma nzuri sana, hongereni mno. Naomba mboreshe pia na huku. Naamini mnasikiliza.
 
Back
Top Bottom