dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 24,688
- 56,423
...Hatari sana! Huwa nimejiuliza sana; hivi hawa waheshimiwa mazingira yao ya maisha safi kabisa; barabarani ni ma-V8-R ya maana full viyoyozi; majumbani kwao nako safi; kipato elites kwa standards za nchi hii.Alafu nimeona tweet yako kuwa Marehemu Lwakatare atazikiwa na serikali.
Kama ni kweli, kwanini wanaficha?
Zitto ni vizuri ukafafanua jambo hili pia.
Sasa kama mtu kama huyu corona imemfikia; huku uraiani tunakobanana kwenye madaladala na mamwendo kasi tutapona kweli? Hali inaogofya sana.