Masanilo
Platinum Member
- Oct 2, 2007
- 22,283
- 4,553
kwa mtazamo wangu ni kama ifuatavyo:
pakajimmy + WOS (familia itakuwa na adabu)
bht + balantanda (hilo halina mjadala)
pearl + drphone (imetulia)
MMK + FL1 (hawa ndugu watawaonea sana)
kigogo + birigita (mmhh)
Lilyflower + rayB (watacope)
Fidel + Maria Roza (hapa kutakesha)
Masanilo + Annina (mbona bibie atajiju)
Bado nitaendelea.......
Hahahah weee mkorofi sana! Sasa mchungaji jamani si yuko huko visiwani jamani! Lol nilikuwa sijaiona hii nimetabasamu tu