Kuna nyingine ya Mr. Rocky na Mama Tuli
Wewe mbona umejiondoa hapo
Hujui wewe ni nyumba ya kati kati
Kuna nyingine ya Mr. Rocky na Mama Tuli
Rejao na (hata sielewi kati ya hawa) SL, Smile, FB ........................
Wewe mbona umejiondoa hapo
Hujui wewe ni nyumba ya kati kati
Ai wewe nawe acha kutoa siri za ndani
kuna hii couple mpya Dena......Kabakabana na Excellent......
Smile kashakimbilia kwa Boss
FB kidogo atakuja hapa kunililia
SL yuko kwa TF sasa sijui Rejao anabaki na nani hapo
Nimeshadelete na hakuna aliyeiona hapo
Ifunike basi na wino mweusi
hapa itakuwaje sasa kwa Kongosho.......?
Mama Tuli yuko wapi aisee
NYANI NGABU inakuwaje?
Duh! Umenikumbusha JF ya enzi zileeee.......... khaa! waliobdili majina siri zinafichuka sasa!hii thread inahitaji updates.........
Preta ni pair ipi inaendana mimi hapa janvini jamani?huyu alishawahiwa.....lakini mawazo huweza badilishwa.......umemchunuku.....?
kwa mfano?yah....nimeona kuna mabadiliko mengi kwa sasa......
Rejao na (hata sielewi kati ya hawa) SL, Smile, FB ........................
Bado sijawa booked, halafu una kesi ya kujibu umekaa mlimani muda mrefu sana.TF ushakuwa booked?
Duh! Umenikumbusha JF ya enzi zileeee.......... khaa! waliobdili majina siri zinafichuka sasa!
Preta una kesi ya kujibu.
Preta ni pair ipi inaendana mimi hapa janvini jamani?
kwa mfano?