Hisia zako zilikuwaje?

Pearl

JF-Expert Member
Nov 25, 2009
3,036
309
Ivi ulivyojiunga na JF kuna watu mkawa hamfahamiani mnawasiliana hapa tu,labda mkabadilishana no za cm etc,je ulikuwa unawaza(kabla hamjaonana)huyo mtu yukoje?umbile,tabia,rangi etc mm kwa mfano watu niliowasiliana nao na tumeonana/hatujaonana:
Geoff: niliisi ni mtu mnene,mrefu,mpole,mcheshi
Xpin: mtundu,mchokozi,mcheshi
kaizer: mchokozi,mcheshi,mrefu,mwembamba
1st lady: mcha Mugu,anampenda mumewe,anapenda kazi,mdada mwenye heshima zake
Bht: mcheshi,muongeaji,zais ya kati,lady with dignity n principoz
Buji: mcheshi,mchekeshaji yani huchoki kuwa nae,
Masaki :mcheshi,mkaka
Ngoswe: mcheshi,mpenda kabila lake,anapenda kusoma
Huu ni mtazamo wangu tu kuna ambao nimekutana nao ni kweli wako hivyo wengine hatujakutana nadhani wako hivyo au kuna tofauti kidogo,je na ww kuna yyte hapa JF uliekutana nae/hujakutana nae unahisi yukoje/ulihisi yukoje,je hisia zako zilikuwa kweli?
 
Pearl....easy to befriend, loving and caring, prety, hard working

FL1......a dignified lady, she has fear of God, Responsible (naenda kumpikie hubby....hahahaaa), mtu wa watu

Lily Flower.....dah mpole, wise (listens more n talks less), heshima sana

Akili Kichwani.......(mmmh baadae nipe muda)

Kigogo.....babu asopenda shida, anadharau mambo mengi (hana stress)
 
Ivi ulivyojiunga na JF kuna watu mkawa hamfahamiani mnawasiliana hapa tu,labda mkabadilishana no za cm etc,je ulikuwa unawaza(kabla hamjaonana)huyo mtu yukoje?umbile,tabia,rangi etc mm kwa mfano watu niliowasiliana nao na tumeonana/hatujaonana:
Geoff: niliisi ni mtu mnene,mrefu,mpole,mcheshi
Xpin: mtundu,mchokozi,mcheshi
kaizer: mchokozi,mcheshi,mrefu,mwembamba
1st lady: mcha Mugu,anampenda mumewe,anapenda kazi,mdada mwenye heshima zake
Bht: mcheshi,muongeaji,zais ya kati,lady with dignity n principoz
Buji: mcheshi,mchekeshaji yani huchoki kuwa nae,
Masaki :mcheshi,mkaka
Ngoswe: mcheshi,mpenda kabila lake,anapenda kusoma
Huu ni mtazamo wangu tu kuna ambao nimekutana nao ni kweli wako hivyo wengine hatujakutana nadhani wako hivyo au kuna tofauti kidogo,je na ww kuna yyte hapa JF uliekutana nae/hujakutana nae unahisi yukoje/ulihisi yukoje,je hisia zako zilikuwa kweli?

Hehehe! Mi mchokozi siyo?
Mi Avatar zilinidanganya. Kama wewe nilifikiri bonge la jimama kumbe kipotabo cha kufa mtu. Afu na twin wako nikajua bonge la kipotabo kumbe jimama hata tukutuku ya Fidel haiwezi kumbeba.
 
hahaaaa mama miaaaaaaaaaaaaaaa, you dont know what you have just done LOL!!!
 
we pearl wewe?!hahahahahaha!

HUYO KAIZER DAH!...mchokozi kumbe?
na huyo X-PIN duh!NAE NI MCHOKOZI EEH?
hahahahaha!ngoja ni-google neno UCHOKOZI:D
be back shortly
 
we pearl wewe?!hahahahahaha!

Huyo kaizer dah!...mchokozi kumbe?
Na huyo x-pin duh!nae ni mchokozi eeh?
Hahahahaha!ngoja ni-google neno uchokozi:d
be back shortly
iribini ni mchokozi sana laikini doooh!!
So caring and protective (hataki niende jukwaa la wakubwa eti ntaharibika)
charming, very resbonsible brother i have.........later!!!
 
PEARL - Mpole, mdadisi lakini sio mwnamke ni DUME.

FIDE - Machachari, mpenda totozi.

VUKANI - Mtu wa kucomplicate mno, mluga luga.

FIRST LADY - Kama pearl ila yeye ni mtata.

EMMA MAKOFIA - Ana kipara kama Mkapa.

BHT - Ni mwembamba kama Fido dido.
 
iribini ni mchokozi sana laikini doooh!!
So caring and protective (hataki niende jukwaa la wakubwa eti ntaharibika)
charming, very resbonsible brother i have.........later!!!
ahsante kwa kunithibitishia kwamba huyu ndugu NI MCHOKOZI.....!
jamani eeh,naomba watu wengine kumi au zaidi wanithibitishie kuwa huyu ndugu NI MCHOKOZI,please jamani:D:D
 
hahaaaa mama miaaaaaaaaaaaaaaa, you dont know what you have just done LOL!!!
Didn't I told you what happens to my brain when I miss my favourite liquid for some minutes?
 
your brain tends to work backwards hahaaaaaa......go get some utaharibu zaidi bila hiyo..........
 
iribini ni mchokozi sana laikini doooh!!
So caring and protective (hataki niende jukwaa la wakubwa eti ntaharibika)
charming, very resbonsible brother i have.........later!!!
Hehehe! Nimekuelewa lakini............
Na hii athletic figure yangu mbona huizungumzii?
 
Afu na twin wako nikajua bonge la kipotabo kumbe jimama hata tukutuku ya Fidel haiwezi kumbeba.

Hahahahahahaha si mchezo unamaana Pearl akipanda naweza nikapata adhabu ya kutafuta waziba pancha mpaka nikome?
 
weee ndo kabisa nenda kanywe supu ya pweza pale pa siku zote

huyo twin ni kipotabo ile mbaya, hujasoma biggy alivoandika???
ntakanseli mtoko na ofa tuliyokuahidi weee haya.......
 
Naona google yangu leo imegoma kufanya kazi ...:)sifa za fidel80 ni sifa tata jamani!
 
jamani jamani wantakani ww?mm nilikua ww ni kimbaumbau kinoma,nikahisi una bichwa ka samaki(akili nyiiiiingi)
Hahahahahahaha si mchezo unamaana Pearl akipanda naweza nikapata adhabu ya kutafuta waziba pancha mpaka nikome?
 
weee ndo kabisa nenda kanywe supu ya pweza pale pa siku zote

huyo twin ni kipotabo ile mbaya, hujasoma biggy alivoandika???
ntakanseli mtoko na ofa tuliyokuahidi weee haya.......

Hahahahaha ok nimesahauu miwani leo.
Nataka siku moja nikupakia kwenye tuktuk lakini naomba ruhusa kwanza kwa B maana si wajua lazima unikumbatie.!!
 
Back
Top Bottom