Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,920
- 4,242
mi nimesoma apo tu shemeji asante!
Kaizer loving you everyday
Senks shemeji!I mean it!
mi nimesoma apo tu shemeji asante!
Sasa ulikuwa wapi kuona habari za michezo?ITV tu ndio hawakuonyesha.au na wewe ni mdumisha mila?ha ha ha ha ha ha!! Charity nitake radhi kwanza.
ITV niliachaga kuangalia Tangu ilipoisha Ile Tamthilia ya second Chance!!
Utawajua tu kwa maelezo yao!!Ni wanafunzi wa dini...Yaani kama unaupokea ukristu katika hali ya utu uzima ni lazima upitie mafunzo ya ukatukumeni, ndo hatimaye unapokelewa katika kanisa..Hii ni kwa mujibu wa madhehebu ya RC!
NL, FL1, bht,...........
Come april 11........tusikiumbiane tu
Charity thanks for the back up suggestion, but no thanks kwa sababu U know what will happen,
nikirudi kwen mada, MJ1 and kaizer....tupo usingizini watoto msisumbue......bht please ufate unga mashine foleni imeshapungua kule...
lini tumeanza kwenda mashine...?? tutanunua wa azam leo sichezi mbali....
hivi tule japo donna kidogo ndo maana..husikii tu?
Nasikia wenye sifa kama hizi ni wepesi kwa kumegwa nje ya ndoa, kwa huyu ni vipi?Quote:
![]()
1st lady: mcha Mugu,anampenda mumewe,anapenda kazi,mdada mwenye heshima zake
uwiiiii.....Nasikia wenye sifa kama hizi ni wepesi kwa kumegwa nje ya ndoa, kwa huyu ni vipi?
Utawajua tu kwa maelezo yao!!
Nasikia wenye sifa kama hii ni wepesi kwa kumegwa nje ya ndoa, kwa huyu ni vipi?Quote:
![]()
1st lady: mcha Mugu,anampenda mumewe,anapenda kazi,mdada mwenye heshima zake
Kaka/dada angalia usijechafua hali ya hewa hapa, ni ushauri tu.Nasikia wenye sifa kama hii ni wepesi kwa kumegwa nje ya ndoa, kwa huyu ni vipi?
The Following User Says Thank You to Kaizer For This Useful Post: Next Level (Today)
Huyu mtu kafufukuka?
.....he!he!he! ''Moshi'' unagoma kunyooka.....kila tukipiga kura na kuchoma vikaratasi moshi unapinda......Pope hajapatikana hapa....so bado nipo secret room, sema washrooms kuna internet, so ikabidi nichepuke nipate chai kidogo hapa.......Currently Active Users Viewing This Thread: 25 (9 members and 16 guests) Chrispin*, Ama, Charity+, Chongowela, Kimey, king1m, Magezi, MwanajamiiOne, Next Level
Huyu Hommie wa bwana harusi kashatoka gesti. Mbona hachangii sredi? Au hangover?
KWARESMA HII!kafunga kila kitu😀
NL, FL1, bht,...........
Come april 11........tusikiumbiane tu
Charity thanks for the back up suggestion, but no thanks kwa sababu U know what will happen,
nikirudi kwen mada, MJ1 and kaizer....tupo usingizini watoto msisumbue......bht please ufate unga mashine foleni imeshapungua kule...
Wanajukwaa,
Jana kumetundikwa thread moja, HII-HAPA, ambayo muwasilishaji anayeenda kwa jina la Pearl alieleza anavyoota sifa za wadau mbalimbali wa hapa ndani jinsi walivyo kwa hisia zake na kwa kusoma mabandiko yao!!..mfano, (nanukuu):
na wengine weengi walioorodheshwa!
Swali: Je JF ingelikuwa ni SAYARI , ni nani na nani hapo wanakubaliana KWA SIFA na HADHI zilizobuniwa, kuwa couple?...
naona hii thread tuiupdate....mambo yameongezeka humu jukwaani......hali ni tete kiujumla
Preta and Nyani Ngabu............... hakuna kulala hata kama hujala
Preta and Nyani Ngabu............... hakuna kulala hata kama hujala
NN atapata heart attack tu kwa theory ya kule kwamba unachofantasize ukikiona live unakuwa mpoole kabisa..Preta apa makeke tu....mwenyewe ana aibuuuuuuuuu:tape::tape: