Tafadhali nitake radhi.naanza kuhesabu 5,4.........
Mie sio Yanga,siwezi kuwa timu ya walioshindwa.Mie siku zote nakuwa timu ya washindi.Kwa kifupi hata Toto afrika wakitwaa kombe basi nitakuwa Toto afrika.
Aaaaaa weewe!!!!!Una maana mwenye hela ndiyo wako hutaki mchovu! Acha hiyo kuwa mzalendo