Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,329
- 17,855
Binamu angalia usije ukajikwa ukiwa umfumba macho, na jana ulifanyeje ulizima TV???
Binamu niliangalia ITV.....🙄 (kule wamepigwa ban)
Binamu angalia usije ukajikwa ukiwa umfumba macho, na jana ulifanyeje ulizima TV???
Kimbizana nayo hivyo hivyo mie nimevaa bukta na raba shoes za DH kaka xpin amenipa kwa hiyo am catching up.uzi unakimbia speed ya kimondo......khaaaaa
kwa hii verse nimamini Mungu anajibu maombi shemeji,.....
so tuendelee kuwa na jofu hata kama anachafua hali ya hewa na mirangi myekundu?
hiyo mirangi inaharibugi sna miundo mbinu.....
WAKATEKUMENI WOTE wapo simba😀😀😀Hehehehehee.Jifunze uvumilivu.Wakatekumeni huwa wana uvumilivu sana
jipe mooyooooooB huwezi amini sasa hivi rohoyangu kwatuuuuuuuuuu
Pole binamu, thats all I can say, naona watu bado wako kwenye mdumange wanasherekea.Binamu niliangalia ITV.....🙄 (kule wamepigwa ban)
hehehe!Bwana acheni bathi kuikimbiza hii Sredi kiivi natumia ungo siipati PJ njoo ujaribu kuwa monita aaaaaaaaaaaaaggggggggggggggh sredi
Dah,kweli ulimkamia.N a bado siku ya mechi ya Simba na Yanga wiki ijayo.Kaizer nakuomba unywe vitunguu saumu kabisa kudhibiti presha.au tualike mimi na bht ili tuwe karibu na wewe.jipe mooyoooooo
utayashindaaaaaaa
yana mwishooooo
vumiliaaaaaaaaaaa
muwe mnampa BACKUP😀😀Dah,kweli ulimkamia.N a bado siku ya mechi ya Simba na Yanga wiki ijayo.Kaizer nakuomba unywe vitunguu saumu kabisa kudhibiti presha.au tualike mimi na bht ili tuwe karibu na wewe.
hehehe!
we ni simba au yanga?
😱😱😕😕😡😡Dah,kweli ulimkamia.N a bado siku ya mechi ya Simba na Yanga wiki ijayo.Kaizer nakuomba unywe vitunguu saumu kabisa kudhibiti presha.au tualike mimi na bht ili tuwe karibu na wewe.
Sema kwa kifupi kuwa Wewe FL1 ni YEBOYEBO KAMA KAIZER NA FIDEL!Mie na Yanga ni kama Maji na samaki ...
Sema kwa kifupi kuwa Wewe FL1 ni YEBOYEBO KAMA KAIZER NA FIDEL!