Couples za JF ni hizi...!

Couples za JF ni hizi...!

NL, FL1, bht,...........

Come april 11........tusikiumbiane tu

Charity thanks for the back up suggestion, but no thanks kwa sababu U know what will happen,

nikirudi kwen mada, MJ1 and kaizer....tupo usingizini watoto msisumbue......bht please ufate unga mashine foleni imeshapungua kule...
 
Jamani naomba kufafanuliwa! wakatakumeni ni watu wa aina gani? Sorry Off topic jamani

na mimi sorry kama nimekukwaza ila hii jumatatu najisikia kukukosa

hilo watajibu waseminaristi
 
tatizo unakuwa too commercial afu utakufa kwa 'presha'

muda naona kama hauendi?😀
SASA ole wako muda ufike uanze udhuru!kama bado upo nyumbani kwako IKWIRIRI bira uwahi daladala ufike ''ukweni'' rhombo
 
NL, FL1, bht,...........

Come april 11........tusikiumbiane tu

Charity thanks for the back up suggestion, but no thanks kwa sababu U know what will happen,

nikirudi kwen mada, MJ1 and kaizer....tupo usingizini watoto msisumbue......bht please ufate unga mashine foleni imeshapungua kule...

Kitakachotoke ,nahisi Yanga watakuwa wateja wa Simba.SIMBA 2-YANGA1
Na ndio m,aana kwa upendo wangu kwako nakutahadharisha mapema shemeji!
 
Jamani naomba kufafanuliwa! wakatakumeni ni watu wa aina gani? Sorry Off topic jamani
Ni wanafunzi wa dini...Yaani kama unaupokea ukristu katika hali ya utu uzima ni lazima upitie mafunzo ya ukatukumeni, ndo hatimaye unapokelewa katika kanisa..Hii ni kwa mujibu wa madhehebu ya RC!
 
Kitakachotoke ,nahisi Yanga watakuwa wateja wa Simba.SIMBA 2-YANGA1
Na ndio m,aana kwa upendo wangu kwako nakutahadharisha mapema shemeji!

mi nimesoma apo tu shemeji asante!
 
Unasikia? kwani jana ulikuwa unaangalia taarifa ya ITV?
Au na wewe ni mbeba mabox!

ha ha ha ha ha ha!! Charity nitake radhi kwanza.

ITV niliachaga kuangalia Tangu ilipoisha Ile Tamthilia ya second Chance!!
 
Ni wanafunzi wa dini...Yaani kama unaupokea ukristu katika hali ya utu uzima ni lazima upitie mafunzo ya ukatukumeni, ndo hatimaye unapokelewa katika kanisa..Hii ni kwa mujibu wa madhehebu ya RC!

Thanks very much PJ!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom