Kimey
JF-Expert Member
- Mar 25, 2009
- 4,117
- 833
carmel hako kachanga ni kweli ama??
ndo ukweli wenyewe huo babukijana
lol hongera nshakata tamaa kabsaa maana nilikua nakulia timing😕
ha ha ha BK hujachoka tu!i wish i could be that one on yourside
carmel hako kachanga ni kweli ama??
ndo ukweli wenyewe huo babukijana
lol hongera nshakata tamaa kabsaa maana nilikua nakulia timing😕
ha ha ha BK hujachoka tu!i wish i could be that one on yourside
ndugu yangu kipenda roho hula nyama mbichi.ha ha ha BK hujachoka tu!
Was is it too much to ask? My intention is to guide those who have been nominated more than once..........!!![]()
ndugu yangu kipenda roho hula nyama mbichi.
shem mi natangatanga na njia tu,kila miti ninayodandia ishapopolewawapi roho imependa shem???
shem mi natangatanga na njia tu,kila miti ninayodandia ishapopolewa
Vipi couples zimeisha?
Kiranga kapewa nani?
Na yule dada Askofu kampata nani vile?
Na wewe si uwe mtawa/padri tu? labda ndio wito wako.shem mi natangatanga na njia tu,kila miti ninayodandia ishapopolewa
Na wewe si uwe mtawa/padri tu? labda ndio wito wako.
vipi charity si unionee huruma walau,hata wewe?Na wewe si uwe mtawa/padri tu? labda ndio wito wako.
Kuna walei waseja lakini.wamejitolea 'kuolewa' na Bwana.hahaa huko hajaitwa huyu ni mlei 'pa se'
Ijumaa wikienda
i wish i could be that one on yourside
halafu jamaa anaibukaga akiona unanyemelewa hapa
huyo sio pastor kabisa
afu huyo ni pacha wake na shem AK-47 .....hahaaaaa!!!
ha ha ha BK hujachoka tu!
ndugu yangu kipenda roho hula nyama mbichi.
wapi roho imependa shem???
shem mi natangatanga na njia tu,kila miti ninayodandia ishapopolewa
wewe na Penny basi
Vipi couples zimeisha?
Kiranga kapewa nani?
Na yule dada Askofu kampata nani vile?
Na wewe si uwe mtawa/padri tu? labda ndio wito wako.
hahaa huko hajaitwa huyu ni mlei 'pa se'
nieleweshe hapo bthahaa huko hajaitwa huyu ni mlei 'pa se'
isingekuwa project na mimi ningekamata wa kwangu,lol!PROJECT 13/02/2010 imeniharibia mpango mzima!enewei:
GEOFF na VALUU
X-PIN na VALUU
KAIZER na HEINEKEN PORI
BIGIRITA na KONYAGI NDOGO
FIDEL na TBL
enjoy your friday guys,narudi kubeba mabox🙂
mkuu nilizifakamia jana hapa naugulia tu,hata kazi haiendiNaona wakuu mnavuta mida tu mwende kurekebisha makoo ijumaa ikifika ina mambo mengi, wengine Valuer zinawasubili wengine vikao vya harusi, wengine maapointment wanaona kama mida haiendi, wengine kudumisha mila, wengine vekesheni ndo zinaanza yote kheri na raha ya ijumaa.
Week end njema.
Pole,mie booked tayari mwendhio,umechelewa.vipi charity si unionee huruma walau,hata wewe?
mkuu nilizifakamia jana hapa naugulia tu,hata kazi haiendi
yaani posts zaidi ya 200 na mie sijapata hata partner?? kweli nimechoka mazee... Geoff yuko wpai leo?