Couples za JF ni hizi...!

Couples za JF ni hizi...!

amoeba tumpe chloroquin.....kama ni he basi tunampatia queenkami
 
jamani mbona mie mmenisahau!!!inakuwaje tena.!!!
ningemchagua pakajimmy lkn naona hadi viapo wameshakula,fidel naye namba aliyoizimikia sijui kama naweza shindana nayo,
mzee mwanakijiji namzimikia lkn namuheshimu sista fl sitaki ugomvi naye.
akili kichwani tayari ana mke wake pearl.
mnasemaje mimi na genekai,au masanilo,au au baba enock,au

Tungekupa Masanilo, lakini je unajua anachokipenda mkiwa ndani ya kuta nne? Maana lazima tukupe angalizo mapema, usije ukatulaumu!
icon10.gif
icon10.gif
 
Kimey mpenzi uko wapi twende zetu tukapumzike?????? wewe si semenya mmh
ha ha ha hii ndo wanaita unaokota dodo chini ya mbuyu!! nipo mwaya haya twende tukapumzike!! Lol!
 
namtafuta Krolokwini ,mwenye habari zake ani PM tafadhari .
dawa ya Maralia popote ulipo ...jitokeze
zawadi nono itatolewa
 
Kwa hiyo so far couples ambazo zimependekezwa na wenyewe wameridhika ni kama ifuatavyo;

1. FL1 na Mwanakijiji
2. PakaJimmy na Perl
3. JS na Kimey
4.Lilyflower na Boss
5.
6.
7.

Endeleeni kujaza

Jamani mwenzio naogopa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom