hapana Kaka, unataka watu wa-colapse within a minute........kwamfano kuna waliopendekezwa kwa watu zaidi ya kumi wataonjeka mara ngapi!! Mmmh!!Hivi kuonja inaruhusiwa? Hasa kama umependekezwa kwenye couple zaidi ya moja?![]()
![]()
![]()
hapana Kaka, unataka watu wa-colapse within a minute........kwamfano kuna waliopendekezwa kwa watu zaidi ya kumi wataonjeka mara ngapi!! Mmmh!!Hivi kuonja inaruhusiwa? Hasa kama umependekezwa kwenye couple zaidi ya moja?![]()
![]()
![]()
Dah! Hivi ilikuwaje akasahaulika huyu? Mimi naona ataendana sana na Baba Enock!
hata mimi nilikwazika on your behalf binamu haaaa!!! voda to voda au inakuwaje???
wewe bht utamu wa bia za sisiem unaongezeka kadri Oktoba inavyojongea
nooo,shem nna hang-over ya kufa mtu,kazi siwezi fanya lakini niko JF lol.aaaah shem sijakupatia kumbe eeeeh subiri......
MWANAJAMII ONE!!!!
Afadhali umechagua fungu lililo jema.......bora kukosa kuliko kuonja onja au kuonjwa onjwa.......kwani karanga hizi/hizoaaaaah I will withdraw my propose.......you are wasting my energy here!!!
eeeeh wakwetu kumbe ndo hivyo...nilikuwa sijajua.....kweli nimewakwaza
aaaaah I will withdraw my propose.......you are wasting my energy here!!!
ahahaaaaaa Learned Bro unaharibu mioundo mbinu sasa agrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr!!!
Nyie watu naona mnagawana wake na waume za watu tu.....SHAURI YENU
hapana Kaka, unataka watu wa-colapse within a minute........kwamfano kuna waliopendekezwa kwa watu zaidi ya kumi wataonjeka mara ngapi!! Mmmh!!
Kwa hiyo so far couples ambazo zimependekezwa na wenyewe wameridhika ni kama ifuatavyo;
1. FL1 na Mwanakijiji
2. PakaJimmy na Perl
3. JS na Kimey
4.Lilyflower na Boss
5.
6.
7.
Endeleeni kujaza
my dream is pearl and cheusimangala and carmel before not now,kuna yeyote yuko tayari hapo?
Labda amekwazika mmeshamgawana mtu wake!hivi umeuelewa uzi vizuri kweli......
sijui siku hizi kuna nini hapa jf, hata sielewi lol!
Mweeee braza Masaki mmmh lol!!!