Couples za JF ni hizi...!

Couples za JF ni hizi...!

yaani posts zaidi ya 200 na mie sijapata hata partner?? kweli nimechoka mazee... Geoff yuko wapi aniokoe japo kunipangia deci?

kaka tatizo umekaa ki-seminarist mno!!!! tunajua wewe unataka kuwa padre tukaogopa kukukwaza!!!
 
hilo chimbo ulilopo leo mmhhhh!!...halafu hao kwenye red wana kesi ya kujibu......huyo wa bluu itabidi tuende faragha
SI unajua tena ijumaa nyumba za kulala wenyeji GONGOLAMBOTO zinajaa sana wikiendi.TUMEAMUA KUJIFICHA KINYEREZI😀😀
 
Naona wakuu mnavuta mida tu mwende kurekebisha makoo ijumaa ikifika ina mambo mengi, wengine Valuer zinawasubili wengine vikao vya harusi, wengine maapointment wanaona kama mida haiendi, wengine kudumisha mila, wengine vekesheni ndo zinaanza yote kheri na raha ya ijumaa.
Week end njema.

Gesti Sinza zimejaa leo....!!! Itabidi ujaribu Kijitonyama au Ubungo!
icon10.gif
 
Hehehehe dah naona ulikuwa busy by the way naona Maria Roza anakufaa.
He MR si ndio yule juzi kawasha moto kule kwenye mambo ya kikubwa?? huyo saizi yangu ngoja nicheki kama the feeling is mutual (joke)😀
 
Currently Active Users Viewing This Thread: 49 (24 members and 25 guests) Chrispin, Ambassador, Amoeba, babukijana, bht, Bigirita, D5, drphone, elimumali, ICU, Jozdon, Kimbweka, Kimey, Lily Flower, Masaki, mayenga, Ndibalema, Nyuki

He! Hapa kuna nini leo?

Hehehehe naambiwa gesti zote zimejaaa ukitoka utaniachia rumu na mm nakuja.

Gesti Sinza zimejaa leo....!!! Itabidi ujaribu Kijitonyama au Ubungo!
icon10.gif

Hahahaha lol K.nyama uswazi naogopa loba za mbao bora nichape raba Buguruni

He MR si ndio yule juzi kawasha moto kule kwenye mambo ya kikubwa?? huyo saizi yangu ngoja nicheki kama the feeling is mutual (joke)😀

Hahahaha yule ndo mwenyewe namsubili ndo mida yake hii ya kurusha vitu vinono wengine tunapata ujuzi.
 
Hao wote wamesahau ku-sign out.they are not active
Dah! Hii sredi inakimbia sana nashindwa kuikamata kabisa.

nahisi naibiwa biggy.............!!! that is wat on here!!!
Nini tena mamushka? Nashindwa kulikamata hili Sredi. Hivi linazungumzia nini vile?

Ulikuwa gesti nini mkubwa? Maana tangu asubuhi sijakuona humu!
icon10.gif
Mkuu we acha tu! Nilikuwa nimefumaniwa sasa mpaka kupata chansi ya kutoroka ilikuwa kasheshe!
 
Dah! Hii sredi inakimbia sana nashindwa kuikamata kabisa.

Nini tena mamushka? Nashindwa kulikamata hili Sredi. Hivi linazungumzia nini vile?

Mkuu we acha tu! Nilikuwa nimefumaniwa sasa mpaka kupata chansi ya kutoroka ilikuwa kasheshe!
tumejipa break ili upate muda wa kuipitia.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom