Couples za JF ni hizi...!

Couples za JF ni hizi...!

Angalieni, utani utani mwisho huwa kweliiiiii, baadae mamimba kwenye matumbo ndiiiiiiii
 
na hili Joto nendeni mkapate maji ya kunywa kidogo ndo mrudi ...mie nimeshindwa kuikamata nimejibrekisha kidogo ..nitafanya mapitio nikiwa nimejipumzisha akili imetulia ......
Hofu na mashaka kwako wewe uliye mbali na upeo wa macho yangu.......
 
Hehehe! Za buku mbili ndo zimejaa. Zile za buku mbili unusu bado kujaa.
Ngoja niibukie hapa tu, sthread yenyewe haikamatiki!

Hapo kwenye red, tukiona post ya kuomba msaada wa JF doctor kwa dawa ya fungus tutajua ni wewe
 
na hili Joto nendeni mkapate maji ya kunywa kidogo ndo mrudi ...mie nimeshindwa kuikamata nimejibrekisha kidogo ..nitafanya mapitio nikiwa nimejipumzisha akili imetulia ......
Hofu na mashaka kwako wewe uliye mbali na upeo wa macho yangu.......
FL1, yule aliyekukwaza jana aliomba msamaha au bao anaendeleza harakati za kuvunja ndoa yako
 
Ni kweli ndugu.Wanasema maneno huumba.
usisahau, mameno huua vile vile
Ukimwita shetani anakuja kweli.
ooh! mimi na Pearl ndo tunafaa kuwa pamoja............mtakuwa pamoja kweli
 
ANGALIZO:

Kuna Wake za Watu Humu! Teh teh teh
 
Hivi ikitokea ikawa kweli itakuwaje? na mtoto mtamwitaje? na je mtaendelea kuwa member wa JF?

mie na wangu tulikutana humu humu JF, hatuna mtoto yet but we are still members, tukipata mtoto tutamtunuku jina la Invisibo.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom