Couples za JF ni hizi...!

Couples za JF ni hizi...!

Ahahahaaaaaah watu mbona wanamgwaya Bwabwa!
Mpaka sasa katiba ya nchi hajruhusu matendo ya Bwabwa!! hapo jirani kwa M saba karibia watapitisha sheria ya kitanzi kwa watu hao!!
 
bht unaona sasa! Nimekwambia Baba Enock atamfaa Mwanajamii One! Huyu babukijana wako unayempigia debe hajatulia!

nimekoma....ilibidi nikatafakari kwanza........

haya bana ila huyo baba Eno wako huyo mmmh!!!
 
Angalizo-Wanaooana kwenye internet wanaanza hivi hivi
 
Mpaka sasa katiba ya nchi hajruhusu matendo ya Bwabwa!! hapo jirani kwa M saba karibia watapitisha sheria ya kitanzi kwa watu hao!!
he hee,alafu kuna pastor mmoja kaenda juzijuzi kawapumulia kisogoni mapastor waganda vijana karibia wote kisha katimua.
 
namtafuta Krolokwini ,mwenye habari zake ani PM tafadhari .
dawa ya Maralia popote ulipo ...jitokeze
zawadi nono itatolewa


afu huyo ni pacha wake na shem AK-47 .....hahaaaaa!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom