Couples za JF ni hizi...!

Couples za JF ni hizi...!

Kwa hiyo so far couples ambazo zimependekezwa na wenyewe wameridhika ni kama ifuatavyo;

1. FL1 na Mwanakijiji
2. PakaJimmy na Perl
3. JS na Kimey
4.Lilyflower na Boss
5.
6.
7.

Endeleeni kujaza
 
Kwa hiyo so far couples ambazo zimependekezwa na wenyewe wameridhika ni kama ifuatavyo;

1. FL1 na Mwanakijiji
2. PakaJimmy na Perl
3. JS na Kimey
4.Lilyflower na Boss
5.
6.
7.

Endeleeni kujaza

5.Masaki na Binti Maringo
 
so hiyo
Kwa hiyo so far couples ambazo zimependekezwa na wenyewe wameridhika ni kama ifuatavyo;

1. FL1 na Mwanakijiji
2. PakaJimmy na Perl
3. JS na Kimey
4.Lilyflower na Boss
5.Bht na Masaki
6.
7.

Endeleeni kujaza
 
Binti Maringo nilimpa Masaki....seriously best tafuta mwingine uunganishe na hiyo helkopta ya Mbowe!!!

Sijamkataa, ila nimeomba CV yake Pearl akasema eti natakiwa nikiwa nae nivae kigoloko wenyewe wanaita ''bring bring'' kama wazee wa ngwasuma. Nikakwazika!
icon10.gif
 
Kwa hiyo so far couples ambazo zimependekezwa na wenyewe wameridhika ni kama ifuatavyo;

1. FL1 na Mwanakijiji
2. PakaJimmy na Perl
3. JS na Kimey
4.Lilyflower na Boss
5.
6.
7.

Endeleeni kujaza
he he he wengine sisi ni akina semenya shauri yako masaki!
 
Kwa hiyo so far couples ambazo zimependekezwa na wenyewe wameridhika ni kama ifuatavyo;

1. FL1 na Mwanakijiji
2. PakaJimmy na Perl
3. JS na Kimey
4.Lilyflower na Boss
5.Masaki na Semenya
6.bht na Nguli
7.Kaizer na Nyamayao

Endeleeni kujaza

List inaendelea ....
 
Leo humu jeiefu sijui mmeamkaje!Yote haya Kayaanzisha PJ,alikuwa na hamu sana ya kapo.na ndoto yake imefanikiwa leo.
 
Sijamkataa, ila nimeomba CV yake Pearl akasema eti natakiwa nikiwa nae nivae kigoloko wenyewe wanaita ''bring bring'' kama wazee wa ngwasuma. Nikakwazika!
icon10.gif

hamna tena ukivaaa hivo anakutolea nje.....she is your type believe me!!! sasa mi ntakuchagulia kama naona hakufai Masaki??? au unaogopa ulanzi?? sio lazima kunywa wala kula mbuzi mwenye pembeless!!!
 
jamani kuna nini umu ndani?????????.........kuna nini????????........... eeh, hebu niambieni nini kinaendelea...............

we pearl, niambie haraka nini kinaendelea hapa?????????? na hayo mapaka shume sijui mapaka jimmy sijui ma dkfoni sijui madokta phoni.............. eeeeh, hebu niambie haraka kabla sijafanya maamuzi magumu.................

na we shem bht ndio nini sasa mnanifanyia na twin wako............. hata kunitonya kuwa kuna watu wanasarandia nyumbani, hukujali............ kimya kabisaaaaaaaaaaa..................
 
hamna tena ukivaaa hivo anakutolea nje.....she is your type believe me!!! sasa mi ntakuchagulia kama naona hakufai Masaki??? au unaogopa ulanzi?? sio lazima kunywa wala kula mbuzi mwenye pembeless!!!

Ulanzi mwake mwake mamaake!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom