Couples za JF ni hizi...!

Couples za JF ni hizi...!

Nyie watu naona mnagawana wake na waume za watu tu.....SHAURI YENU
 
kwani hapa JF hakuna padri?c wajitokeze kutufungisha au?
Niko tayari!
Bora uishi maisha ya mateso, lakini na KITU MUJARABU kama weye!
Ntakuwa najikausha tu kiume!, ili mradi tunakuwa pamoja MITOKO etc!
Hata kama ukisema kila mtu alale chumba chake sawa, ili mradi tukiwa barabarani unipige busu hazarani!
 
ICU unamfahamu Balantanda au unamsikia? Utadundwa, shauri yako!
icon10.gif

inaonyesha ni ngumi mkononi au
 
Couple yangu inanitia ugonjwa..huko ndani ya nyumba room yote kutajaa magazeti ya kina Zitto ,Sitta, Lowassa mpaka vitandani..
Muda wa perfomance hautakuwepo ..nitaishia kuwa katibu kati kata wa Mbeya Vijijini!!!mmmh headache
 
samahani kama nimekukwaza Masaki

na wewe na Js naona kama italipa vile????

Wapi huko ulikonikwaza? Au kibwagizo cha ''samahani kama nimekukwaza'' kimekukolea?
 
aaaaaaaaaaah acha kujiami jiamini

wewe ex-shem vipi??

unataka nikugawie confidence (mimi ni supplier wa hiyo product in case you didnt knw)

sasa Kigogo na Brigita yaani mwanaume na mwanume mwenzie?? hiyo sheria nayo ilipitishwa njii hiii??? nifahamishe basi!!!!
 
Niko tayari!
Bora uishi maisha ya mateso, lakini na KITU MUJARABU kama weye!
Ntakuwa najikausha tu kiume!, ili mradi tunakuwa pamoja MITOKO etc!
Hata kama ukisema kila mtu alale chumba chake sawa, ili mradi tukiwa barabarani unipige busu hazarani!

Ha ha ha!hii nimeipenda.
 
Couple yangu inanitia ugonjwa..huko ndani ya nyumba room yote kutajaa magazeti ya kina Zitto ,Sitta, Lowassa mpaka vitandani..
Muda wa perfomance hautakuwepo ..nitaishia kuwa katibu kati kata wa Mbeya Vijijini!!!mmmh headache

Usitie shala FL1, Mwanakijiji yuko single ndio maana ana muda mwingi wa kufanya hayo! Ukimtuliza atatulia tu!
icon10.gif
 
kwani hapa JF hakuna padri?c wajitokeze kutufungisha au?

hapa kunakatiba na rules so atuitaji padri ngoja tuwasiliane na maxwel na invisble shemasi mzee mwanakijiji wapambe nguli,geoff, firstlady wengine endeleza
 
Couple yangu inanitia ugonjwa..huko ndani ya nyumba room yote kutajaa magazeti ya kina Zitto ,Sitta, Lowassa mpaka vitandani..
Muda wa perfomance hautakuwepo ..nitaishia kuwa katibu kati kata wa Mbeya Vijijini!!!mmmh headache

hahaaaaa matron nilikuwa nafikiria the same thing.....................

from radio stations to tv and news paprs ni sihasa tu kwa kwenda mbele, kila siku mnaamka mnaumwa vichwa!!!!!!!!!!!!!
 
aaaah ICU nitake radhi, umenikwaza......hiyo interaction ya sana na mimi na huyo jamaa iko wapi bana.......huyo hata ukinipa afu uniongezee na vijisenti staki!!!!!!!!!!!!!!!

umenikwaza!!!!!!!!!!!
Samahani kwa kukwazika mwaya
 
uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiii pearl yani umeshajitwalia pj hivi hivi anywhy nitasubiri kifo kiwatenganishe mm nijitwalie
hafi mtu hapa...Nitakufa nimwacjie nani kitu hicho?...nina raha gani?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom