Bigirita
Platinum Member
- Feb 12, 2007
- 16,042
- 7,474
Umenikwaza!! njoo chumbani huku nikwambie mamiii!kwa mtazamo wangu ni kama ifuatavyo:
pakajimmy + WOS (familia itakuwa na adabu)
bht + balantanda (hilo halina mjadala)
pearl + drphone (imetulia)
MMK + FL1 (hawa ndugu watawaonea sana)
kigogo + birigita (mmhh)
Lilyflower + rayB (watacope)
Bado nitaendelea.......