Couple za shule ni shida

Sijapitia hayo Mimi..nasubiri wenye experience zao
 
Enzi hizo boys ila nilikuwa na kadoshodosho ulokoni, msimu wa mahindi niliienjoy sana. Bibi yake alikuwa anauza mbogamboga shuleni nilikuwa nachukua ugali tu dining na vimaharage kidogo then naenda kwa bibi mkwe wangu ananijazia mabogamboga bure nakamilosha draft. Nilikupenda sana popote ulipo
we utakuwa songea boys nadhan. Mimi babu yako
 
Duuu ww noma uliwapangaje wakajikubali kuliwa wote na wakat ukiwala ulifanyaje maana wanakuja wote kusoma
Ilikuwa rahisi sana, wote watatu walijikuta wanakuwa marafiki kinoma noma, na hadi leo ni mashosti kinoma noma. So walikuwa wanapitiana majumbani kwao wakiaga kuwa wanakwenda maktaba kujisomea, halafu wanakuja home, tunasoma kweli, kuanzia saa nne asubuhi hadi saa nane, wanapika pale home, tunakula, tukishashiba sasa, ni mtifuano hadi saa 12 jioni wanarudi makwao. Kwa wiki ilikuwa mara moja tu.
 
Huwa naficha weakness zangu kwa kua serious (yani kama defensive mechanism), too bad wadada wengi huwa hampendi mtu aliyeserious everytime i get nervous, shy, or fear automatically nakua serious

matokeo yake mtu anaweza akaniogopa akati kiukweli namwogopa yeye
Hahaaa, hapo mwisho nimechekaa, kumbe muoga hivo,ntakua nakuchimba mikwara sasa, oyaaa ile ahadi unaikumbuka ama umezingua
 
Ambao tumeshasahau Kama tulipitia shule tuna- comment wapi?
 
Ilikuwa rahisi sana, wote watatu walijikuta wanakuwa marafiki kinoma noma, na hadi leo ni mashosti kinoma noma. So walikuwa wanapitiana majumbani kwao wakiaga kuwa wanakwenda maktaba kujisomea, halafu wanakuja home, tunasoma kweli, kuanzia saa nne asubuhi hadi saa nane, wanapika pale home, tunakula, tukishashiba sasa, ni mtifuano hadi saa 12 jioni wanarudi makwao. Kwa wiki ilikuwa mara moja tu.
kumbe we 3 some kumbe we kitambo,wakati huo hata hiyo term hujaijua baharia
 
Kama nakuona ulivyokua umeloa wakati barua inasomwa kwan alitaja na idadi ya goli ulizotupia kambani siku hiyo?
Nipo form 3 seminary x nikawa na karembo changu shule x kakatuma barua utaratibu wa hiyo seminary barua ikija inasomwa na padri wa nidham ndo ikufikie

Dahh ilikuwa ndo tumetoka likizo na likizo nilimpiga mti sasa alivyo kosea ile story yote ya mgegedo aliiandika mule na akaweka ahadi tukifunga tena tufanye zaid ya ile ile barua ikaja soma dining hall muda wa diner watu wametuliaaaaa hapo jina halija tajwa bado ila nikawa nishajijua maana mishale yote ilikuwa inanilenga mm dahhh nilipigwa adhabu ya kuchimba visiki na likizo iliofata nikaitumikia shule yoteeeeee utoto raha sana
 
Kutengeneza couple ni kipaji , kwa kumbukumbu zangu mahusiano marefu zaidi nliyowahi yaishi ni 3weeks.. hua paka nakaa chini najiuliza "how do they do this"
99.999% ya maisha yangu paka leo nimeishi nikiwa single
Hasara za uboyzin hizo.

Unakuwa na washkaji kibao lakin couple na wasichana unashindwa kutengeneza
 
Hasara za uboyzin hizo.

Unakuwa na washkaji kibao lakin couple na wasichana unashindwa kutengeneza
Kwel boys zinaadhiri sometimes nilisoma O level A level pia but afadhali O level wa pale walikua mixture ila day haikua rahisi kujichanganya na siwi na mahusiano ya kudumu yani nachukulia poa kinoma
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom