Couple za shule ni shida

Kutengeneza couple ni kipaji , kwa kumbukumbu zangu mahusiano marefu zaidi nliyowahi yaishi ni 3weeks.. hua paka nakaa chini najiuliza "how do they do this"
99.999% ya maisha yangu paka leo nimeishi nikiwa single

Hahaaa jamaa unifurahisha asee mm pia mahusiano yaliyodumu mda mrefu sidhani ata miezi saba inafika ,yatatokea yakutokea tu jini makata atayaingilia.

Itakua kua tatizo ni mm lakin shida hadi leo sijajua iko wap na wote tukiacha tunawasiliana na nikitaka mzigo napewa,nakosea wapi hapo ndo sijajua.

Mtu akiniona anaweza sema siwez kukosa mpenzi lakn sina,sema tu mademu ninao wakukizi aja.
 
Mtafute tu
dah hii inanihusu kabisa,nilikua na mahusiano na binti flan ivi alinisumbua sana dah,sasa hivi yupo chuo mkoani mimi nipo kwa makonda bint huwa ananitafuta kwenye simu ila sijali namuacha apambane na hali yake
mtafute tu umle hata mara moja ufurahishe nafsi yake
 
Mm nilipenda katoto ka fom 3 wakati nakaribia kuua 4, nilipenda ile real yani na ndio maana naamini mapenzi ni automatically na sio kufosi. Nilikaonesha nakapenda kakawa kama hakarespond kivile lkn siku nimekaa zangu kwenye kona ya darasa niko Napiga msuli wa civics kesho nazama necta, nikaletewa bahasha na manz wa class kwetu akaniambia nimepewa na yule nikuletee, kisha nikamuona anatoka pale nikaisoma, dah nikakuta best wishes NA kwa mara ya kwanza maishani nimeandikiwa i love you, moyo ulilipuka, ikabidi nimfuate, wakati namkuta alikuwa kwenye kuagiza fulani, dah nikala mate bila kuongea hata neno moja kisha ndio tukaanza mazungumzo.....
Naamini Necta ulitoboa fresh
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom