Couple za shule ni shida

Couple za shule ni shida

Darasa la saba ticha mmoja mdogo alinipenda kimapenzi, nikawa nakula pesa za ticha. niliishi vzr sana kihali na kimali. Ahaaa aaaa nilimchomeka
 
Darasa la nne nilikuwa na mademu zangu wawili, warembo hasa. Furaha yangu ilikuwa kuwabinya tumaziwa twao. kufika la tano ndo nikawa naingiza tu kiukweli sikuenjoy. walijuana wakanifuata kibabe eti kwanini nawachanganya. nami nikawajibu kibabe kuwa asiyetayari asepe. Hakuna aliyesepa
Wacha weeh! Eenhee mliendelea Hadi la ngapi?
 
dah hii inanihusu kabisa,nilikua na mahusiano na binti flan ivi alinisumbua sana dah,sasa hivi yupo chuo mkoani mimi nipo kwa makonda bint huwa ananitafuta kwenye simu ila sijali namuacha apambane na hali yake
 
Mm nilipenda katoto ka fom 3 wakati nakaribia kuua 4, nilipenda ile real yani na ndio maana naamini mapenzi ni automatically na sio kufosi. Nilikaonesha nakapenda kakawa kama hakarespond kivile lkn siku nimekaa zangu kwenye kona ya darasa niko Napiga msuli wa civics kesho nazama necta, nikaletewa bahasha na manz wa class kwetu akaniambia nimepewa na yule nikuletee, kisha nikamuona anatoka pale nikaisoma, dah nikakuta best wishes NA kwa mara ya kwanza maishani nimeandikiwa i love you, moyo ulilipuka, ikabidi nimfuate, wakati namkuta alikuwa kwenye kuagiza fulani, dah nikala mate bila kuongea hata neno moja kisha ndio tukaanza mazungumzo.....
 
Enzi hizo boys ila nilikuwa na kadoshodosho ulokoni, msimu wa mahindi niliienjoy sana. Bibi yake alikuwa anauza mbogamboga shuleni nilikuwa nachukua ugali tu dining na vimaharage kidogo then naenda kwa bibi mkwe wangu ananijazia mabogamboga bure nakamilosha draft. Nilikupenda sana popote ulipo

Boys hii box 2 au boys nyingne
 
Mimi nakumbuka kuanzia f2 mpaka f4 mwanzoni nilikuwa na demu tunasoma kidato kimoja ila mwishoni mwl wangu wa nidhamu alininyang'anya,nilimchukia mwl mpaka tukakabana mashati.
baada ya demu kufeli halafu mimi nikaenda A level mwl aliniachia mzigo nikasusia
 
Mwaka gani jeshi? 2011 makutipola?
Mmmh, polee imekuathiri till now, Mwenyewe ilikua changamoto kuwazoea wakaka aisee,nakumbuka tulienda jeshini Kwa mujibu Wa sheria ndyo nikakutana na wakaka, ile mnakaa nao pamoja na vibukta vifupi yaani,full aibuu
 
nilikua na mahusiano na head girl kipindi nipo 4m 4 ye alikua 4m 2 nilmsotea sana kama miez mi 3 kaja kukubali nishamalza necta but kipindi namsotea alikua anisave kuandika notes yaani napelek daftar kesho likirud lmeandkwa zote basi najiona napendwa mbichwa huo,niliishia kula mate tu
naskia ananitafuta sana

salamu zimfikie popote alipo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom