Couple za shule ni shida

Couple za shule ni shida

Ni
Huyu mwingine nilikuwa namsafiria maana shule yake ilikuwa nje ya mji kidogo. Dah muda wa kuagana alikuwa anamwaga machozi tu. Nilisoma boys from form 1 mpaka 6 ila vidoshodosho nimesocialize nao sana
tulikua tunatoroka boys kwenda shule ya kata videmu vinatupenda balaa tupo kama kumi hivi siku moja boys wa kule wakaona hii dharau imezidi kama saa moja hivi usiku tulikimbizwa sitakuj kusahau
Nilianza form one nikiwa dogo sana, halafu kilaza.
Kufika form two nikaambiwa kuna kurudia darasa.
Nikakaza kinoma, mwezi wa sita nikaingia kumi bora huku nikiongoza katika ufaulu wa somo la hesabu.
Kufungua shule muhula wa pili nikaanza kuletewa maswali ya hesabu na vibinti nivisovie.
Lahaula, vitoto vinanukia balaa, vitoto vilaini hatari, vitoto chuchu saa sita, vitoto vinanikumbatia kinomanoma. Siendi shule na hela lakini narudi nimeshiba, kisa kusovu huko.
Nikaanza kuvila bwana, home niliishi na bro tu, ambaye nae alikuwa mtu wa kusafiri safiri sana. So nilivilia vyote home pindi bro asipokuwepo.
Vilikuwa vinajuana na havikuwa na noma, nilijua kusoma ndio kumenipa mademu, nilikomaa niijue na physics, maana tulikuwa na ticha wa hovyo kweli, tuition kama zote, hatimae form three science, mwendo ni ule ule, akaja ticha mmoja mgeni wa commerce kijana hivi, akaanza kuzungukia mizigo yangu na kunichimba mikwara ya kiboya boya kila tukikutana. Nikafuatilia hadi nikajua anakoishi, nikawa wikiendi naibuka mitaa hiyo, lahaula siku moja nikamnasa yupo na denti wa form four, nikajisogeza karibu kabisa ili aone nimemuona, nikamsalimia kihuni"ticha vp, naona unasindikiza" akajichekesha kifala, kuanzia siku hiyo watu wakashangaa akawa hanimaindi tena, maana anajua tulikuwa na headmaster mnoko kwa walimu wenzake hatari.
Form four nilihakikisha wachumba zangu watatu wote tunakwenda form 5 na tulikwenda.
Leo wameolewa wote na bado wananipenda, nikiomba sinyimwi.
Hakiba haiozi.
Ww kweli ni baharia mbobezi
 
Hongera mliosoma mixture.

Hiz fursa wengine tunaskia Tu Kwa watu
 
kumbe we 3 some kumbe we kitambo,wakati huo hata hiyo term hujaijua baharia
It was fun kimtindo, nilipendwa shuleni coz nilibadilika na kuwa kijana bright kichwani, smart kimavazi, na zaidi sikuwa na michepuko zaidi ya wao watatu. Hakuna aliyejuaga hadi tunamaliza shule. But nilisoma kifaza sana, 3some nilikula na one nikapata, wake zangu walifaulu pia na wote wakapangiwa kwenda advance. Advance ilikuwa boyz tupu, so muda mwingi nilikomaa tu na usiku niliweka conference na kuongea na wake zangu kutokea huko walikokuwa.
 
Nikikumbuka naishia kucheka tu mana nilikua nipo A level na demu wangu yupo O level ila yeye yupo day mimi boarding shule moja na story za maticha kufanya upelelezi wa watu walio kwenye mahusiano nipo likizo demu ananipigia eti amebanwa akanitaja nimerudi ni full kesi mwishowe nikala adhabu nakuandikwa kwenye BLACK BOOK kumbe ndo walichomoa betri kwenye mapenzi yetu mana yalizidi kunoga
Toeni experience zetu kwenye hili mliowahi kupitia
Form two, niliyafungulia rasmi mapenzi.

Kufika Form 4 nikawagonganisha wasichana watatu. Matusi yao, kejeli,kutishiana na wawili kati yao wakapigana uraiani! Kesi ikafika shuleni!
Na mmoja kati ya ke hao alikuwa mdogo wake na teacher hapo school!
Usiulize msaala niliokutana nao!

Kufika tena A'level ikawa taabu kweli kweli!
Chuoni ndiyo nikatulia kidogo.

Aisee mabaharia tumetoka mbaali sana.
Acha tu nchi yetu iwe ya Viwanda a.k.a donor country
 
Noma sana baharia O level mimi boys na porini huko so full kuvizia vitoto vya shule za karibu
 
We
It was fun kimtindo, nilipendwa shuleni coz nilibadilika na kuwa kijana bright kichwani, smart kimavazi, na zaidi sikuwa na michepuko zaidi ya wao watatu. Hakuna aliyejuaga hadi tunamaliza shule. But nilisoma kifaza sana, 3some nilikula na one nikapata, wake zangu walifaulu pia na wote wakapangiwa kwenda advance. Advance ilikuwa boyz tupu, so muda mwingi nilikomaa tu na usiku niliweka conference na kuongea na wake zangu kutokea huko walikokuwa.
well planned
 
Nipo form 3 seminary x nikawa na karembo changu shule x kakatuma barua utaratibu wa hiyo seminary barua ikija inasomwa na padri wa nidham ndo ikufikie

Dahh ilikuwa ndo tumetoka likizo na likizo nilimpiga mti sasa alivyo kosea ile story yote ya mgegedo aliiandika mule na akaweka ahadi tukifunga tena tufanye zaid ya ile ile barua ikaja soma dining hall muda wa diner watu wametuliaaaaa hapo jina halija tajwa bado ila nikawa nishajijua maana mishale yote ilikuwa inanilenga mm dahhh nilipigwa adhabu ya kuchimba visiki na likizo iliofata nikaitumikia shule yoteeeeee utoto raha sana

HAHAAA KIJANA ULIIPATAPATA, SIMU ZIMEHARIBU FEELINGS ZA MAPENZI, KUNA KADI NA BARUA HADI LEO NINAZO NYUMBANI NIMETUNZA KAMA KUMBUKUMBU
 
It was fun kimtindo, nilipendwa shuleni coz nilibadilika na kuwa kijana bright kichwani, smart kimavazi, na zaidi sikuwa na michepuko zaidi ya wao watatu. Hakuna aliyejuaga hadi tunamaliza shule. But nilisoma kifaza sana, 3some nilikula na one nikapata, wake zangu walifaulu pia na wote wakapangiwa kwenda advance. Advance ilikuwa boyz tupu, so muda mwingi nilikomaa tu na usiku niliweka conference na kuongea na wake zangu kutokea huko walikokuwa.
Hahaha eti unaweka conference na kuongea na wake zako.....
 
Darasa la nne nilikuwa na mademu zangu wawili, warembo hasa. Furaha yangu ilikuwa kuwabinya tumaziwa twao. kufika la tano ndo nikawa naingiza tu kiukweli sikuenjoy. walijuana wakanifuata kibabe eti kwanini nawachanganya. nami nikawajibu kibabe kuwa asiyetayari asepe. Hakuna aliyesepa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom