Couple za shule ni shida

Madima

Madima

Senior Member
Joined
May 25, 2019
Messages
107
Points
225
Madima

Madima

Senior Member
Joined May 25, 2019
107 225
Nikikumbuka naishia kucheka tu mana nilikua nipo A level na demu wangu yupo O level ila yeye yupo day mimi boarding shule moja na story za maticha kufanya upelelezi wa watu walio kwenye mahusiano nipo likizo demu ananipigia eti amebanwa akanitaja nimerudi ni full kesi mwishowe nikala adhabu nakuandikwa kwenye BLACK BOOK kumbe ndo walichomoa betri kwenye mapenzi yetu mana yalizidi kunoga
Toeni experience zetu kwenye hili mliowahi kupitia
 
interlacustrineregion

interlacustrineregion

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2018
Messages
6,075
Points
2,000
interlacustrineregion

interlacustrineregion

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2018
6,075 2,000
We umefanana nami kabisa kipindi nasoma mabinti walikuwa wananiona kama kabwela vile hatimaye sasa hivi wananisaka kila kona kama pesa vile.
nilio wahi kuwapenda kipindi nasoma wote hawakunikubali kabisa....ila ajabu siku hizi wananitafuta
 
clefting

clefting

Senior Member
Joined
Mar 8, 2019
Messages
131
Points
250
clefting

clefting

Senior Member
Joined Mar 8, 2019
131 250
Nikikumbuka naishia kucheka tu mana nilikua nipo A level na demu wangu yupo O level ila yeye yupo day mimi boarding shule moja na story za maticha kufanya upelelezi wa watu walio kwenye mahusiano nipo likizo demu ananipigia eti amebanwa akanitaja nimerudi ni full kesi mwishowe nikala adhabu nakuandikwa kwenye BLACK BOOK kumbe ndo walichomoa betri kwenye mapenzi yetu mana yalizidi kunoga
Toeni experience zetu kwenye hili mliowahi kupitia
M nilikuwa na demu wa form three m npo form four nilipomaliza kakanipiga chini kwa dharau kalifeli m nilipofika chuo nikakakuta dar kaliniganda sana
 
Madima

Madima

Senior Member
Joined
May 25, 2019
Messages
107
Points
225
Madima

Madima

Senior Member
Joined May 25, 2019
107 225
M nilikuwa na demu wa form three m npo form four nilipomaliza kakanipiga chini kwa dharau kalifeli m nilipofika chuo nikakakuta dar kaliniganda sana
Kama nakuona ulivyokua unakasulubu
 
Madima

Madima

Senior Member
Joined
May 25, 2019
Messages
107
Points
225
Madima

Madima

Senior Member
Joined May 25, 2019
107 225
Ukashindwa kumwambia hata kwa ishara tu
 
T

tinkibiruka mhaya

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2016
Messages
588
Points
500
T

tinkibiruka mhaya

JF-Expert Member
Joined Jul 28, 2016
588 500
Kuna jamaa mmoja hivi aliwahi nitaka tukiwa form 3 mpaka namaliza o'level sikuwahi kumkubali pamoja nakutumia mbinu mbalimbali ila wapi sasa sikumoja nikaja kukutana nae mjini mbeya tukasalimiana nikimcheki hivi namuona si wa kawaida kabisa ikabidi nijiulizishe maswali vipi uko wapi sikuhizi akaniambia yuko Arusha anafanya biashara ya samaki anatoa mwanza anapeleka Arusha hana madoido wala nini kwa kuwa na mimi nilikuwa mwanafunzi huku nimepewa ofisi nisimamie sikushoboka kiivyo maana nilikuwa natupesa twa kunipa jeuri sikuomba hata namba
 
instanbul

instanbul

JF-Expert Member
Joined
Jun 26, 2016
Messages
5,501
Points
2,000
instanbul

instanbul

JF-Expert Member
Joined Jun 26, 2016
5,501 2,000
Wengine tumesoma boys toka std six mpaka form six .tena huruhisiwi hata kuwa na msichana unafuatiliwa mpaka likizo na inabidi ukae Kwa paroko kabisa.
Acheni seminary iitwe hivyo kama huna wito
 
uhurumoja

uhurumoja

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2014
Messages
2,229
Points
2,000
uhurumoja

uhurumoja

JF-Expert Member
Joined Mar 2, 2014
2,229 2,000
"Nzinzinzinziiiiiiii,"


Vile ticha alisikitika
Hahahaaha mkuu usishangae nimesoma mkubwa sana afu nidhamu ilikuwa kubwa sana changanya na bidii uhusiano ulikuwa clean sana kudinya ilikuwa weekend tu au kwa dharula tulizingatia masomo
 
kijazi07

kijazi07

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2016
Messages
433
Points
500
kijazi07

kijazi07

JF-Expert Member
Joined Feb 14, 2016
433 500
Nipo form 3 seminary x nikawa na karembo changu shule x kakatuma barua utaratibu wa hiyo seminary barua ikija inasomwa na padri wa nidham ndo ikufikie

Dahh ilikuwa ndo tumetoka likizo na likizo nilimpiga mti sasa alivyo kosea ile story yote ya mgegedo aliiandika mule na akaweka ahadi tukifunga tena tufanye zaid ya ile ile barua ikaja soma dining hall muda wa diner watu wametuliaaaaa hapo jina halija tajwa bado ila nikawa nishajijua maana mishale yote ilikuwa inanilenga mm dahhh nilipigwa adhabu ya kuchimba visiki na likizo iliofata nikaitumikia shule yoteeeeee utoto raha sana
 

Forum statistics

Threads 1,335,574
Members 512,393
Posts 32,509,820
Top