Nilianza form one nikiwa dogo sana, halafu kilaza.
Kufika form two nikaambiwa kuna kurudia darasa.
Nikakaza kinoma, mwezi wa sita nikaingia kumi bora huku nikiongoza katika ufaulu wa somo la hesabu.
Kufungua shule muhula wa pili nikaanza kuletewa maswali ya hesabu na vibinti nivisovie.
Lahaula, vitoto vinanukia balaa, vitoto vilaini hatari, vitoto chuchu saa sita, vitoto vinanikumbatia kinomanoma. Siendi shule na hela lakini narudi nimeshiba, kisa kusovu huko.
Nikaanza kuvila bwana, home niliishi na bro tu, ambaye nae alikuwa mtu wa kusafiri safiri sana. So nilivilia vyote home pindi bro asipokuwepo.
Vilikuwa vinajuana na havikuwa na noma, nilijua kusoma ndio kumenipa mademu, nilikomaa niijue na physics, maana tulikuwa na ticha wa hovyo kweli, tuition kama zote, hatimae form three science, mwendo ni ule ule, akaja ticha mmoja mgeni wa commerce kijana hivi, akaanza kuzungukia mizigo yangu na kunichimba mikwara ya kiboya boya kila tukikutana. Nikafuatilia hadi nikajua anakoishi, nikawa wikiendi naibuka mitaa hiyo, lahaula siku moja nikamnasa yupo na denti wa form four, nikajisogeza karibu kabisa ili aone nimemuona, nikamsalimia kihuni"ticha vp, naona unasindikiza" akajichekesha kifala, kuanzia siku hiyo watu wakashangaa akawa hanimaindi tena, maana anajua tulikuwa na headmaster mnoko kwa walimu wenzake hatari.
Form four nilihakikisha wachumba zangu watatu wote tunakwenda form 5 na tulikwenda.
Leo wameolewa wote na bado wananipenda, nikiomba sinyimwi.
Hakiba haiozi.