Very trueEti ameletwa dereva wa Uber anasema watekaji wazungu! Mbona walio kuwa ndani ya gym hakuna aliyesema kuna mzungu? Au huyo Uber ni 'wasiojulikana' naye?
Ukianza kula nyama ya mtu hauachi, na siku ukikosa mtu hata mama yako anageuka asusa
Wajinga nyinyi kila tukio mnahusisha siasa , fooo
Poor english. Acha acha acha,!Something might have went wrong..!
Something might have went wrong..!
Chadema Wana steam out frustration zao kwa Mo Dewji baada ya kukimbiwa Na mbunge wao wa Ukerewe .Ndio maana unaona wamekazania sana hizi habari. Pigo walilopata ni kubwa wahurumie tummeanza kuja na habari zenu za kufikirika.
Haaahaaa....acha uwongo bossnikiwa na mbili kichwani kiingereza kinashuka chenyewe lakini kavu kavu majanga ungenikosoa hadi basi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwani siku hizi unakunywaga?Watu kama ninyi ndio munanoifanya niandike kiingereza nikiwa na mbili kichwani.
Hakuna aliyeweza kuipakua hiyo habari then aibandike hapa? Naona kuisoma yote lazima uwe "subscribed"Billionaire Mohammed Dewji, head of MeTL, is targeted by President John Magufuli.
Still vigorously pursuing his moralistic campaign to clean up the business sector, President John Magufuli, nicknamed Tinga Tinga (bulldozer in Kiswahili), has decided to go after Mohammed Dewji, the owner of Tanzania's second largest conglomerate, MeTL (Mohammed Enterprises Tanzania), and....
TANZANIA : Could ‘Mo' Dewji's empire be under threat from Magufuli?
SIKU MAMBO HAYA YATAKAPOKUWA WAZI NA AKAFAHAMIKA KIGOGO ALIYENYUMA YA MATUKIO YA KIFEDHULI NATUMAI KUNA WATU HUMU WATAJIFUTA WENYEWE, LAKINI KWAKUWA MATAJIRI WAMEANZA KUINGILIWA NA HILI JINAMIZI BASI MUDA SI MREFU KILA KITU KITAKUWA WAZI.Something might have went wrong..!
Idd Amin is already in the state house of Tanzania
goneSomething might have went wrong..!
Kaka dhuuu"Zamani tajiri alikuwa anaweza kufanya chochote , lakini leo tajiri anaweza kufanywa chochote "
Na Chadema inawagharimu sana ndio 202o mbunge wa Chadema akirudi niite mbwa I officially declare official war with Chadema Since they have decided to war with CCM in all fronts I welcome them to the war zone in all fronts wether political , business etc and their supporters Chadema members and supporters be prepared .Vita haina macho mtatutambua
Mbona huyu Lumumba mwenzako hujamrekebisha kwenye kingereza chake cha ugoko lakini kutwa kiguu na njia kurekebisha wengine ?That sounds good.
Na Chadema inawagharimu sana ndio 202o mbunge wa Chadema akirudi niite mbwa I officially declare official war with Chadema Since they have decided to war with CCM in all fronts I welcome them to the war zone in all fronts wether political , business etc and their supporters Chadema members and supporters be prepared .Vita haina macho mtatutambua
Hii hukuiona ?Kiingereza cha wapi hiki???!! Something might have went wrong!!!!??? No no no...Something might have gone wrong
Hili saga wasiojulikana watapatikana sasa hivi... bad timing bashite. Alizoea kuwapoteza wasio na sauti hili pichu itambana dammit.Mambo yameanza!!