- Thread starter
- #21
Mama anatafuta hela za msaada kwa mgongo wa korona. Kashindwa kukusanya Kodi.
Ndiyo maana Mdude kaahidi kumnyoa huyu mama kwa wembe.
View attachment 1838536
Kupisha mzizi wa fitna mama aachane na pesa za mkopo ila la kulinda uzima wetu kwa njia hizi na zaidi akaze zaidi.