itafika siku utaambiwa bila chanjo huingii stend ya makufuli
Kuvaa barakoa sasa hivi ndio unaona suluhisho?
Popote ulipo na wenzio mnaobisha juu ya ukivi 19, naomba muende ile wadi ya wanaotibiwa huo ugonjwa hosp. ya mwananyamala mlale huko bila barakao baada ya siky 14 mtupe mrejesho. Hapo tutawaamini.