Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
umeona eeh. yaani wale wabibi na familia zao sijui niwaweke kwenye fungu gani. wewe bibi yangu ninavyompenda na kumuheshimu siwezi furahi nikimuona anazodolewa na kukatishwa kiuno kama mtoto mdogo.
clouds hawana adabu kabisa, huko ni kuwadhalilisha hao wamama sijui waliofikiria nini kuanzisha hilo shindano upuuzi mtupu!