Clouds ndio habari ya mujini bana acheni majungu
Entarteinment industry inajumuisha vitu vingi,matamasha,tv,radio,majarida ya burudan , ni industry kubwa ambayo ndan yake kuna vitu vingi ,sasa kwa hapa kwetu katika makampun yanayojihusisha nayo yale yaliyo chini ya Clauds media group ndo yanayoongoza ktk nyanja nyingi za burudan isipokuwa tu katika TV kama ambapo naona clauds tv imeshindwa kutake lead kama ambavyo vitu vingine toka clauds media group zinazofanya lead mf.radio clauds,coconut ,bang magazine,THT ,teentz ,primetime promotion (fiesta) etc etc etc
kwa upande wa TV wakabidhi kijiti tu hakuna kitu kabisa pale. hakuna kipindi kinachonikera kama BIBI BOMBA.
kwa upande wa TV wakabidhi kijiti tu hakuna kitu kabisa pale. hakuna kipindi kinachonikera kama BIBI BOMBA.
Ptuuuu..yani hawa nao mmh
Clouds ndio habari ya mujini bana acheni majungu
Hajaniniingia akilini fafanua hiyo kauli yako ya entertainment imdustry au na we umekurupuka kutoka kubwia unga nini?
Bila ya kuiangalia msingejuwa kuwa wanakopi..cheno ya malimbukeni tunaojua mambo hatupotezi muda wetu clouds...
umemjuwaje kama humsikilizi..???We utakuwa ndio Paul James Swea. Kama ni hivo sikulaumu maana ndipo unapopatia mkate wako wa kila siku!!