Everything in Clouds media is copy and paste. Poleni kwa mnaoliwa huku mkijiona, mie wala simo huko. Nikienda kwa washikaji nikisikia tu station ya Clouds, nawaoamba wabadilishe haraka kwani sitaki masikio yangu yaharibike kwa sauti zao na lafudhi zao feki za kujifanya hawajuwi kiswahili wakati wakiwa na wazazi wao wanaongea kiswahili tena fasaha ila redioni hawajuwi.
ubunifu ni kitu pekee kinachoweza kuitofautisha brand moja hadi nyingine/kampuni nyingine ambazo/yo inatoa huduma zinazolingana/fanana.
Nirudi kwenye topic,sina shaka na uwezo wa clouds media Group katika ubunifu na mambo mengine linapokuja suala la burudani hapa Tanzania, ila kwa hili niseme Clouds TV wamekosa ubunifu na walichoishia kufanya ni kukopy na kupaste vipindi vyao kutoka TV stations nyingine mfano EATV.Vifuatavyo ni baadhi ya vipindi ambavyo Clouds TV wamekopy na kupaste kutoka EATV....
1.Siz kitaa- City sound (kilichokuwa kikiendeshwa na Seki)
2.Take One-Bongo movie (kilichokuwa kinaendeshwa na Joyce Kiria).
3.Ongea na Janeth-The Mboni show (kinachoendeshwa na Mboni)
4.Wazee wa Madebe-Friday Night Live(kinachoendeshwa na Sam Misago).
5.kipindi cha Paradise cha Irene uwoya nayo ni programu ambayo inendeshwa na TV stesheni nyingi za nje katika mtindo wa documentary,lakini kipindi hiko kinafanana kabisa na kipindi ambacho hufanywa huko Nigeria na moja ya TV stesheni,so sio kitu kipya pia.
Mdau unaweza kuongeza vipindi unavyovijua ambavyo jamaa wamecopy ila si kwa nia mbaya.
EATV level za mbali sana,wamejipanga na wanajua wanachokifanya,I salute them
power breakfast ni copy ya ajabu!! Haya jicho la ng'ombe wamecopy citizen the bulls eye, cjui wamerogwa/? Mfyuuuuuuuu in manges voice!! Wanaboaje???kipindi cha evance bukuku cha nimekubamba wamekopi citizen tv ya kenya kwenye kaa rada
mwambie aliyekutuma, wenyewe hujawakuta wapo wastegate, kama kweli we kidume noo ujumuike nasi! Mtchewwww!kama kweli ni copyright za eatv kwa nini wasiende mahakamani?