Congratulations to private Universities for producing the highest GPA and competent students

Congratulations to private Universities for producing the highest GPA and competent students

Hahahaaa mtu mzima kujisifia GPA ni aibu watu wanajisifia pesa na mishemishe kwenye maisha
Tafuta pesa GPA yangu naijua mimi hata nikikwambia hutaamini na wala hatujuani
We kila kukicha tafuta hela, saivi waza kupata hela nyingi sana
Achana na GPA narudia tafuta helaaaa
GPA yangu ipo kwenye vyeti kazi nilishapata ila tatizo sijapata pesa za kunifanya niridhike
Tatizo langu ni pesa tuuu
Nawewe tafuta helaaaa
Mkuu huyu jamaa ni miongoni mwa wale wanaosoma wakiamini maisha yao yako kwenye makaratasi(yaani vyeti) na akiharibu hapo basi tena hana njia nyingine ya kumtoa kimaisha, na ndio maana unaona anajasifu GPA kwa sababu amesoma kama ametumwa na nzengo hadi kuipata hili asije akawa omba omba mtaani.... Hajui kwamba kuna watu wamemaliza mwaka juzi na first class lakini hadi leo bado wanafundisha twisheni sababu ya kukosa ajira zinazohusiana na taaluma zao, na hapo hapo kuna watu wamemaliza na Pass tu mwaka huu tayari sasa hivi wapo makazini wanakula mishaara.

Huyu mleta maada ana mengi ya kujifunza kuhusu life lilivyo kwa sasa.
 
Ahaha... kuwa ninastahili kuitwa Sir.Lizarazu!!? inasound poa lakini. comment yako ya awali imeelezea kila kitu mkuu hata nilichotaka kusema mimi.
Kuhusu huyu mleta mada..

I initially wanted to bewray him of his infalliable breach on syntax which cannotes his level of mediocrity, but only came to find out he's contumelious being.

BTW i humbly take your compliment but mentioning my name in the same sentence with the like of Kiranga in this context, i think you put me in the pedestal i do not belong to...those two are more profound in arcane words and their lexical proficiency is atypical.
Kubishana na vilaza unaweza ukageuka na wewe kua ki****za
 
It's high time now to proud the private Universities for their work hard to produce students with quality knowledge than public universities.
I maybe agreed with you. But I have one importance question, GPA is the only one for proud about private universitiey? Nothing more? Or others are good but not mention?
 
I maybe agreed with you. But I have one importance question, GPA is the only one for proud about private universitiey? Nothing more? Or others are good but not mention?
Malkia Elizabeth. Lilugha lako hili mama linatutesa. Please ukipata ujumbe huu tafadhali nijibu. Ni lazima tulitumie lilugha lako hili ligumu?
 
Niko Njiani natokea Denmark kikazi......hivi Tanzania mvua imeanza kunyesha?
1481724490297.png
nilienda kutafit astronomic issues.
 
I maybe agreed with you. But I have one importance question, GPA is the only one for proud about private universitiey? Nothing more? Or others are good but not mention?
Hii lugha hii.....
Asante sana mwalimu Moses Mkuvasa kwa kunifundisha vizuri sarufi ya lugha ya Kiingereza.
 
Darkness has affect you.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hii mechi ushapoteza kubali kama ulikua umesubscribe Uzi wako ni wakati muafaka uweze ku-unsubscribe
Sasa "Darkness has affect you" ndo nini ulimaanisha?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hii lugha ilikuja na jahazi mkuu
 
Mh... Hii ni nini?
 
Back
Top Bottom