Confession: Nimefanya sana umalaya, sasa basi

Confession: Nimefanya sana umalaya, sasa basi

kupanga ni kuchagua...
utu uzima ni dawa, tumia utu uzima wako kuchagua kilichi sahihi.

ulipenda sana pesa sasa tumia akili kuzikwepa labda za jasho lako.

Mwanadamu si kitu, Mungu pekee ndiye anaweza kukubadilisha.
Tubu kwa imani, ikiwezekana funga na omba kwa dhati, Mungu hatakuacha.
Soma sana biblia na usipoteze mda kuchati na wale uliozini nao.
kapime afya.
sikushauri eti uende kwa mtumishi fulani akakuombee, badala yake omba mwenyewe na shirikisha watu wachache waaminifu naama Mungu humsikia yeyote amuombaye.
Ahsante sana. Ubarikiwe for not judging me
 
Asante kwa kuwa case study... Your time is now over though still you have chance to restore back your good lost bahaviour
Ahsante. Sababu mojawapo iliyonifanya kuandika hii ishu humu ni kuwafungua macho wasichana.wenzangu wanaopenda vitu vya dezo vya wanaume waache tabia hiyo mapema kabla hawajafikia nilikofikia mimi
 
Ahsanteni wote mlio.comment kwenye huu uzi (pamoja na wale mlionitukana na kunikejeli). Napenda kusema yafuatayo.
1.Wale mnaosema kuwa hii ni habari ni ya kutunga, napenda kuwaambia kuwa hata mimi natamani sana iwe its just a story,.but kwangu mimi huo ndio uhalisia wangu, kwenu nyie it might be just a story, ila kwangu mimi ndio uhalisia. Nimekuwa nikiingia JF as a guest user kwa zaidi ya miaka miwili sasa, na nilipokuwa nafikiria sehemu ambayo naweza nikashusha yaliyo moyoni mwangu nikaona JF ni sehemu sahihi. Kwa hiyo ugeni wangu si hoja ya kufanya mtilie mashaka niliyoandika.
2.Nimeona watu wengi humu hasa wanaume wamenitukana na kunikejeli.sana, lakini inbox yangu hadi sasa imejaa PM kama 25 ambapo 22 kati ya hizo zote ni za kunitongoza.
3.Nawashukuru sana walionipa moyo na kunishauri, wengine hadi wameni PM na kunipa ushauri zaidi inbox. Mwenyezi Mungu awabariki sana. Nilishaanza kupiga hatua katika safari yangu ya kubadilika na hadi sasa ninaendelea vizuri sana, nitatilia maanani.sana ushauri wenu. This is what i needed.
4.Naamini my past is the past na kama nilivyosema naamini na ninafahamu kuwa naweza kuwa mke bora kabisa na nikawa mama bora pia,uamuzi uko juu yangu na nimeshaamua tayari na kama nilivyisema, nimeshaanza kupiga hatua.
Neema, jua kuwa kwenye kila unachokifanya hapa duniani utawqgawa watu kwenye makundi matatu
1. Watakaokuwa upande wako
2. Watakaokupinga
3. Dont care
Na kila kundi lina mazuri na mabaya yake.

Kumbuka unapoomba ushauri kuna watakaokukejeli lakini if you take tye positive part of the kejeli utafanikiwa sana kwenye safari yako nzuri ya kubadirika. By the way kuna ukweli mwingine mchungu na hasa kama ukiwa mtu wa kupenda kuambiwa unayotaka kusikia. Utamu wa maisha upo kwenye tofauti zetu.... embu fikiria kama wote tungepitia maisha uliyopitia, kungekuwa na mtu wa kumweleza chochote mwingine juu ya aina hiyo ya maisha..?!

Kubadirika kuna vikwazo vingi hasa kama unayemtangazia kubadirika ndo alikiwa anafaidi kitu toka kwenye maisha yako unayotaka kuyaacha. Hebu niambie kpenda Tigo yako umwambie unabadirika unategemea atakwambia nini..?? Hao wanaokukejeli we wachukulie tu ji kama watu waliokuwa wanapata faida kwenye maisha yale unayotaka kuyaacha

NAKUTAKIA MABADIRIKO MEMA, NA ILI UFANIKIWE KWA URAISI
1. BASI OKOKA.
2. NA ILI IWE RAISI HAMA MAENEO YOTE ULIYOKUWA UNAFANYIA TABIA HIYO MBAYA
 
acha chai wewe, night clubs zilikuhusu alafu ukapata alama za kwenda chuo??? nitakuwa wa mwisho kukuamuni, tena nina wasiwasi unaweza kuwa mwanaume wewe
Take it or leave it. Kwa hiyo wanaoenda night clubs wote huwa hawapati alama za kwenda chuo? Tunatofautiana sana
 
L

Nilete hadithi ili iweje? Take it or leave it.
O level nimesoma jangwani, A level nimesoma Loleza combination ya HGL na chuo nimesoma BA education hapo DUCE. Mimi sikuwa nafaulu sana, but i always managed to get marks just enough to make me go to the next level.
Sio wote wanaofanya umalaya Hawana akili , most of them are good upstairs
 
Hata nimi niliiona sehemu ni kama ime editiwa tu, naona watu wanajipinnda kutoa ushauri kwenye drama.
I really wish this was just a.story. Kwa bahati mbaya sana, its my reality. Kwako.wewe it myt be jst another story.
This is my past, and am already moving away from it, really quick
 
Take it or leave it. Kwa hiyo wanaoenda night clubs wote huwa hawapati alama za kwenda chuo? Tunatofautiana sana
Nikweli watu hutofautiana nikm nakuona mtoa mada...hii safari uliyoamua ni ngumu na inavikwazo,naiman utafika sala,Roho wa Mungu na awe juu yako aseme nawe maana bila hvyo peke yako hutaweza!HONGERA KWA UWAMUZI MZURI.
 
Mimi nimemshtukia mapema ndii maana fatilia comment zangu sina sympathy kabs juu ya hili.

Ni kama ka stori tu twaweza kujifunza kitu sisi waoaji kwamba kafanya mambo yasiyofaa sodoma inasingiziwa baada ya kuchoka anataka kuolewa. Well and good kaacha mauchafu lkn je huyu si scraper??
Hata huyo ulienae anaweza kuwa scraper. Do not be too quick to judge.
Anyways kejeli zenu zinanipa challenge pia. Ahsante.
 
L

Nilete hadithi ili iweje? Take it or leave it.
O level nimesoma jangwani, A level nimesoma Loleza combination ya HGL na chuo nimesoma BA education hapo DUCE. Mimi sikuwa nafaulu sana, but i always managed to get marks just enough to make me go to the next level.
eh kwaio wewe ni mwalimu??
 
eh kwaio wewe ni mwalimu??
Nimesoma BA education, lakini kazi ninazofanya sio za kiualimu. So kitaaluma yes ni mwalimu, lakini nafanya kazi tofauti na ualimu.
 
Neema, jua kuwa kwenye kila unachokifanya hapa duniani utawqgawa watu kwenye makundi matatu
1. Watakaokuwa upande wako
2. Watakaokupinga
3. Dont care
Na kila kundi lina mazuri na mabaya yake.

Kumbuka unapoomba ushauri kuna watakaokukejeli lakini if you take tye positive part of the kejeli utafanikiwa sana kwenye safari yako nzuri ya kubadirika. By the way kuna ukweli mwingine mchungu na hasa kama ukiwa mtu wa kupenda kuambiwa unayotaka kusikia. Utamu wa maisha upo kwenye tofauti zetu.... embu fikiria kama wote tungepitia maisha uliyopitia, kungekuwa na mtu wa kumweleza chochote mwingine juu ya aina hiyo ya maisha..?!

Kubadirika kuna vikwazo vingi hasa kama unayemtangazia kubadirika ndo alikiwa anafaidi kitu toka kwenye maisha yako unayotaka kuyaacha. Hebu niambie kpenda Tigo yako umwambie unabadirika unategemea atakwambia nini..?? Hao wanaokukejeli we wachukulie tu ji kama watu waliokuwa wanapata faida kwenye maisha yale unayotaka kuyaacha

NAKUTAKIA MABADIRIKO MEMA, NA ILI UFANIKIWE KWA URAISI
1. BASI OKOKA.
2. NA ILI IWE RAISI HAMA MAENEO YOTE ULIYOKUWA UNAFANYIA TABIA HIYO MBAYA
Ahsante sana kwa ushauri huu mzuri. Mungu akubariki sana, nitaufanyia kazi every line.
 
Ahsante sana kwa ushauri huu mzuri. Mungu akubariki sana, nitaufanyia kazi every line.
Ameen.... labda kwa kuongozea tu, tofauti yako na malaya wengine ni kwamba...
1. Wewe umeamua kubadirika lakini wao bado wameng'ang'ania dhambi
2. Wapo wengi wanaofanya umalaya kwa sababu eidha kama zako au sababu nyingine
3. Hata watoa kejeli hasa wanaume na utakuta wanapiga sana hao malaya na usione ajabu humu pengine wapo waliowahi kulala na wewe eidha kwa kawaida au kinyume na maumbile
4. Usidhani watoa matusi na kejeli hapa kwamba wao ndo wema sana kwamba wao ni maparoko na masista wa parokia ya mtakatifu Jamii Forum...kuna wachafu kuliko hata uchafu wenyewe... yaani wengine hadi shetani anawaogopa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom