BAOBAO
JF-Expert Member
- Oct 12, 2012
- 1,874
- 557
Kuna dada mmoja yupo Chuo cha Hombolo ni mhathirika wa virusi moto vya ukimwi ametaja orodha ndefu ya aliofanya nao uasherati !
Basi mmoja wa vijana kusikia jina lake akajirusha kutoka orofani mpaka chini lakini bahati mbaya hakufa bali aliumia sana kukimbizwa hospitali.