Confession: Nimefanya sana umalaya, sasa basi

Confession: Nimefanya sana umalaya, sasa basi

Tatizo ushafumuliwa marinda. Hakuna mwanaume atakayekukubali
 
Neemababy, kwanza nikupongeze kwa ujasiri wako wa kuyaanika mambo yako uloyafanya gizani. Mbele za Mungu hakuna lisilowezekana na tena Mungu anawatafuta wale wenye dhambi kama mimi na wewe na wengineo, ili watubu na kuuacha uovu na kumrudia yeye Mungu aliyetuumba sote.

Mrudie Mungu wako naye atakusamehe maovu yako yote. Naiona nia ya dhati ndani yako ya kutubu na ndio maana ukaja kuanika maisha yako ya nyuma hapa. Mimi ni mkristo na ktk kitabu cha nabii Isaya 1:18, neno la Mungu linasema; "Haya, njooni, tusemezane, asema BWANA. Dhambi zenu zijapokuwa nyekundu sana, zitakuwa nyeupe kama theluji; zijapokuwa nyekundu kama bendera, zitakuwa kama sufu.

Kwa hiyo binti, hiyo ni ahadi ya Mungu kama ukitubu na kuacha maisha hayo, basi yeye anasamehe na kusahau kabisa. Na mahali fulani ktk kitabu cha Zaburi, Mungu anatukumbusha wadhambi wote kuwa, "Kama vile mashariki ilivyo mbali na magharibi, vivyo hivyo ndivyo ilivyo kwa mwenye dhambi anapotubu na kuacha uovu, basi Mungu anasamehe na wala hakumbuki tena habari ya uovu wako wa kale.

Binti, nakuhakikishia utaolewa na kupata watoto na kuwa mke mwema. Ni suala la wewe na Mungu wako tu.
 
Najua kuna watu watakuja na unafikiki hapa kujifanya wanakushangaa, lakini heri wewe umesema ukweliukweli kwa uliyo yapitia ujanani kuliko hao walio kaa kimya na kujifanya wanashangaa wakati yakwao ni mazito na makubwa zaaid ya hayo,

kila jambo lina mwanzo na mwisho wake,liwe jema au baya lakin kikubwa zaid mwisho wake uwe mzuri usikuache na majeraha , kwa hayo uliyo toa ushuhuda hapo nadhani kuna jambo kama bado hujalifanya basi ulifanye ili uwe huru zaid ya hapo nadhan umenielewa , wakati mwingine kupitia magumu ni njia ya kukupeleka kwenye wepesi,
 
aisee kumbe haya mambo yapo..miaka tisa unaanza, yani umejiibia mwenyewe stage ya utoto...una roho ngumu sana..mwe
 
khaaa asee polee mrudie Mungu tafta kampan ya marafik ambao watakua positive kwako kukujenga kimawazo ili uachane na izo mambo
 
L

Nilete hadithi ili iweje? Take it or leave it.
O level nimesoma jangwani, A level nimesoma Loleza combination ya HGL na chuo nimesoma BA education hapo DUCE. Mimi sikuwa nafaulu sana, but i always managed to get marks just enough to make me go to the next level.
nimependa maelezo yako yanafundisha sana na pia umefikia level yakujitathimini nakuona hakuna jinsi bali urudi katika mstari ulionyooka, karibu kanisani ukatubu dhambi zako upate wokovu Mungu atakusamehe nawe utakuwa kiumbe kipya ndani ya kanisa utapata mme wakuishi nae hadi umauti na ninakuhakikishia ukitubu kwa dhati kutoka moyoni mwako hiyo roho yakutamani uzinzi utapotea kabisa na kuzaliwa upya.. sasa fanya hima uingie kanisa lolote linalohubiri wokovu nenda kwa mchungaji mweleze matatizo yako atakuombea nawe utapona huo ni ugonjwa sio maisha mwisho wa mchezo ni mauti.
 
hatua kubwa umepiga tayari kutamani kuacha uovu...kama uko serious kweli nakushauri yafuatayo;

Kama no muislamu mrudie Allah uwe MTU Wa swala tano kabisa..epuka marafiki wote unaojua watakurudisha nyuma

Kikubwa nakushauri uokoke...utaniwia radhi kama utakuwa dini nyingine..Mpokee bwana Yesu awe bwana na mwokozi Wa maisha yako...Hauwezi shinda hyo shambi bila nguvu na Neema ya Kristi ndani yako

Unahitaji deliverance..Kuna roho nyingi za kurithi am a zinazopitia kwenye milango mingine zinazoleta athari katika maisha yrtu ya kila siku..mfno hapo umwsmea umeanza ngono ukiwa na miaka Tisa na tena ulikwwa unaenjoy..inamaanisha uki spiritually possessed tayari..ukuenda kwa Washauri Wa mambo ya kiroho wakikuuliza historoa yako wanawwza kupaya chanzo cha mlanho Wa hyo tabia...hapa nimeongea kiroho

Ukija kimwili...unconscious mind yako imeshakubali wwe ni malaya...hivyo pale utajapokuwa haufanyi lazima ipeleke taarifa kwa conscious mind ufanye kile kitendo...hapo unakazi ya kuondoa experience zote za kimalaya katika uncoscious mind yako...unaweza Fanya meditation muda mrefu na kuukeep mwili wako busy na mambo mengine

Kikubwa ni Neema ya Mungu...hauwezi bila nguvu zake.
 
L

Nilete hadithi ili iweje? Take it or leave it.
O level nimesoma jangwani, A level nimesoma Loleza combination ya HGL na chuo nimesoma BA education hapo DUCE. Mimi sikuwa nafaulu sana, but i always managed to get marks just enough to make me go to the next level.
Shida n huko kuliwa tigo kutakutia aibu kipind cha kujifungua mumeo atachambwa na manesi lakin hayo mengine yote weng wameyapitia
 
Nasikiaga kuwa mtu akishazoea kuliwa tigo kuacha ni ngumu. so sijui itakuwaje hapo! Ok ila Mungu akusaidie. but wakati mwingine ni lazima uvune ulichokipanda. na athari zake kuondoka au kuisha tc impossible
 
Shida n huko kuliwa tigo kutakutia aibu kipind cha kujifungua mumeo atachambwa na manesi lakin hayo mengine yote weng wameyapitia
Kiukweli ni wanawake kama mleta mada ndio wananipa hasira sana, yani kila nikiwaza kuwa muadilifu katika mahusiano niliyopo na nikakuta confession kama hizi natamani niendelee kuwa kitombi tuu maana naeza kuwa najifunga kumbe mwenzangu alikuwa anakigawa kama pilau ya msibani.

*At times its better to be wicked than to be honest, just to find you were the fool in the relationship.
 
Mrudie Mungu. Lakini pia mtembelee mnasihi (mshauri nasaha). Nenda mahali ambako hakuna anayekujua. Kisha anza maisha upya. It's never too late to start again.
 
Jesus loves you no matter what you have done......!! mrudie Mungu naye atakuponya na kukugeuza kuwa chombo chake kuweza kuwasaidia hata wengine wenye tatizo kama hili.
 
wewe n mfano tuu wapo waliokua wamebobea huko kama MARIA MAGDALENA lkn walipomrudia Yesu walisamehewa dhambi zao na wakafanywa upya wakamfuata yeye cku zote za maisha yao.
 
Nakupongeza Dada kwa hatua uliyoichukua Nina hakika umeamua kuchukua uamuz wa busara ,ni dhairi kabisa ulichofanya hata mungu wako wa mbinguni muumbaji wa mm na wew na viumbe wengine wenye mapungufu pia atakuwa amekusamehe maana yeye anasamehe saba Mara sabini

Kingine Dada angu ebu jaribu kujikabidhisha maisha yako kwa mungu kwa kuwa umeamua kutubu lakini kajaribu kupima afya yako kujua kama umeshapata maambukizi then uangalie hatua zipi uzifuate ,alafu kuna ambao wanakukatisha tamaa Nina hakika hata wao pia wana mengi wanayoyafanya lakini hawakujitokeza kuyasema waz kwa kuofia kuchekwa kwa maneno mengine hakuna aliyemkamilifu kwa kila kitu wengi tunakosea tunapoamua kutubu maovu yetu mungu anasamehe

Mwisho naamini umepata funzo kubwa katika maisha yako Nina imani utakuwa mfano mzuri wa kuimiza Dada zetu kufanya kazi na kuacha kupenda vya dezo hakuna jipya chini ya jua kila ulifanyalo lilishafanywa tena zaidi yako lakini pia yaliyofanywa kipindi hicho kizazi kile kiliangamizwa kwa kuwa hakuna aliyesikia ,sasa tunamshukuru huyu mungu kwa kuwa amekuepusha na hili but too late na umri umeshasogea
NENO MOJA TU KUTUBU NA KUOMBA MSAMAHA KWA WALE ULIOWAKOSEA NI UFUNGUO WA MAMBO YOTE

MUNGU WA MBINGUNI AKUSAMEHE SANA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom