Comment ya mke wangu imenifumbua macho.

Comment ya mke wangu imenifumbua macho.

ujumbe huu ni kwa wanawake wenye wivu, ub..o ni kama mwiko wa kupika chakula, mwenzio akipikia unaoshwa na wewe unautumia kama kawaida. kwa hiyo hakuna ub....malaya ila wanaume wote ni baba lishe tu. kwa hiyo wewe usiogope na wala usione wivu "oohh mme wangu malaya"! Hapana, we muulize kwa upole tu, "Baba lishe, huo mwiko umeusuuza? maana na mimi nataka kuutumia". haya ndio maisha ya wanaume wote wa kiafrika, chezea mwiko unaoshwa kwa kulambwa kama icreem za bakhresa!!!

Aisee!!
Na shimo ni nini, sufuria la mboga au? Leo lapikiwa samaki, kesho matembele.
 
Ukijua huuuuu wenzio wajua uleeeee ngoma draw! Mambo ya kuwekana roho juu kama bendera ya Taifa hatutakiiii. .sasa ni kanyaga twende.
 
asikudanganye mtu dawa ya deprsn ya kuchtuwa miaka na miaka sijui ushaur sijui nini.
uongo mtupu.
DAWA NI KUTAFUTA MTU WA KUKUFARIJI HATA MSIPOFANYA ATLEAST HATA HUG.
UTAISHIA KUFA KWA PRESHA UMRI MDOGO UMWACHE HUYO MWANAUME ANAFAIDI NA HICHO KIMADA.
TAFUTA AGE NZURI NASISTIZA AGE NZURI NA ASIWE KING'ANG'ANIZ UKIMBWAGA BAADAYE.
PIA AWE NA VIJISENTI HATA KIDOGO VYA KUNUNULIA VNYWAJI MKITOKA NA NI VZUR ILA SIO MUHIMU AKIWA NA YEYE ANA STRESS ZA MKEWE.
UTAONA MAISHA YAKO YATAKAVYOKUWA MAZURI.
SEX SIO MUHIMU KAMA MKIDO CONDOM MSISAHAU NA NI VIZUR MKIPIMA.
STRICTLY: KWA WANANDOA TU.
AMBAO HAMJAOA WALA KUOLEWA MSIKUBALI KUTUMIKA NA HAWA WATU WASIJE WAZEESHA BURE NA KUWAARBIA SOKO.

duh! hapo mastress lazima yapungue
 
alichoongoe mkeo na shemejio ni ukwel kabisa.. mwanaume akianza kucheat huwa anabadilika, hata ratiba yake ya kurudi home inabadilika, kwa mwanamke makini atahisi tu na ndio sababu ya kuanza kumfatilia mpaka kwenye simu yake.
ukimuuliza mwanaume atafanya kama ulivyofanya kwa mkeo, oh ni rafiki wa kawaida, mara tupo ofc moja, ukibanwa sana utaishia kuomba msamaha lkn ukweli ni huwa hamuwaachi hao wanawake

wanawake wamejikuta na wao wanatafuta wa kuwaliwaza either kwa kulipa kisasi au kujipunguzia hizo pressure na ukiwa. mbaya ni pale atakapompata either anayembembeleza au mwenye maujuzi au mahela kuliko wewe. hamna rangi utaacha kuona aisee.

ongea na mkeo, na muonyeshe kama huna hiyo tabia, otherwise akimaliza kunyonyesha atafanya alichokusudia

mbaya zaidi ameongea mbele yake! hii ni hatari sana.
 
Walahiiii???

nimecheka sana.
maex wanahusika.
kumbe usidharau kinaweza kukhsaidia sana baadaye maana wakat mwingine kumpata mpya ni shughuli sana.
aondoki mtu hapa kama kuondoka nenda wewe hata mavikao unafaidisha tu ukoo na kutia wazee presha.
tafuta fulsa iliyotulia MBONA UTAIPENDA NYUMBA YAKO,FULL AMANI,ALAFU AKIWA MME WA MTU MNAHESHIMIANA SANA.
 
Heeeiiiiiiii!!!!!!!!

Cheating ina faida zake sometimes, especially kwetu wadada
kiukweli unayempenda lazima umfatilie na kwa bahati mbaya ukigundua anakucheat itakuuma na kwa kua unampenda huwezi muacha ila ukiangaza pembeni utakuta wale macare taker anakusahaulisha yote na kuurudisha upendo ambao mwenzio ameupoteza, hivyo cheating inafufua roho ya upendo
 
Chinekeeeeeeee

asikudanganye mtu dawa ya deprsn ya kuchtuwa miaka na miaka sijui ushaur sijui nini.
uongo mtupu.
DAWA NI KUTAFUTA MTU WA KUKUFARIJI HATA MSIPOFANYA ATLEAST HATA HUG.
UTAISHIA KUFA KWA PRESHA UMRI MDOGO UMWACHE HUYO MWANAUME ANAFAIDI NA HICHO KIMADA.
TAFUTA AGE NZURI NASISTIZA AGE NZURI NA ASIWE KING'ANG'ANIZ UKIMBWAGA BAADAYE.
PIA AWE NA VIJISENTI HATA KIDOGO VYA KUNUNULIA VNYWAJI MKITOKA NA NI VZUR ILA SIO MUHIMU AKIWA NA YEYE ANA STRESS ZA MKEWE.
UTAONA MAISHA YAKO YATAKAVYOKUWA MAZURI.
SEX SIO MUHIMU KAMA MKIDO CONDOM MSISAHAU NA NI VIZUR MKIPIMA.
STRICTLY: KWA WANANDOA TU.
AMBAO HAMJAOA WALA KUOLEWA MSIKUBALI KUTUMIKA NA HAWA WATU WASIJE WAZEESHA BURE NA KUWAARBIA SOKO.
 
matumizi kama kawaida japo mapenzi watamiss

tayar ni tatizo hapo kama unakubali kabisa mapenzi watamiss,na mapenzi n muhimu kuliko matunzo...
Ivo hakuna unaemkomoa hapo:smile-big:
 
matumizi kama kawaida japo mapenzi watamiss

tayar ni tatizo hapo kama unakubali kabisa mapenzi watamiss,na mapenzi n muhimu kuliko matunzo...
Ivo hakuna unaemkomoa hapo:smile-big:
Yeah am into it...sitaki kukaa hapa kusubir kulia lia kama toto dogo...nasubir nimkamte mtu hapa thn atasoma number
 
Ukijua huuuuu wenzio wajua uleeeee ngoma draw! Mambo ya kuwekana roho juu kama bendera ya Taifa hatutakiiii. .sasa ni kanyaga twende.

Kamata fursa twenzetu........... Ndoa ni tamu ukiijulia....... Plan B ndiyo mpango "Dumisha ndoa yako"
 
Me wakati mwingne naona bora kuleteana magonjwa kuliko kuletewa,uko tu ndan umetulia na ukijtuma kama mke mwema wakat nje mwanaume anafanya yake..

hahahahaaaa best kupima inahusika sana ili ukigongwa ni full kujiachia...... Kula pipi na ganda inahuuu
 
wanawake wenzangu msithubutu KUACHANA NA WAUME ZENU KISA KIDUMU,TUNAGANDANA HIVYO HIVYO HAACHWI MTU HAPA.
NASEMA HIVI MAANA WANAWAKE TUNAKONDA KWA STRESS ZA VIMADA SAA NYINGNE HADI KITUKANWA,TUNASHUTIWA KWA RISAS NA FAMILIA ZETU PIA,TUNAKONDA KWA WIVU,UGOMVI KILA SIKU.
UKIFA WANAO UTAMWACHIA NANI?WAZAZ JE?UNAJIFANYA KULIA WWEE MWENZIO NDIO KWANZA ANAJIACHIA UKO NJUU NA LIKITAMBI LINAONGEZEKA.
FURAHA IKO MIKONONI MWAKO!NANI ALISHAWAH KULIA MUMEWE AKAACHA KUTOKA NJE?TENA NDIO ANAFIRAHI.
WENYE MAWASLIANO NA MAEX WAKATI NDIO HUU USILIE CHUKUA SIMU AND ASK FOR A DATE.
AMBAO HAMNA MAWASILIANO TAFUTA YATATBU ALAFU UONE KAMA AFYA HAIJARUD.
CHONDECHONDE CONDOM CONDOM OR KAMPANI NA HUG VINATOSHA MKITAKA KUJIVINJAR ZAIDI KUA.
STRCTLY;MARRIED COUPLE ONLY
 
Leo tulipanga tukutane na familia rafiki. Hii familia ni rafiki yangu ambaye tumesoma pamoja kutokea o-level hadi chuo. Tuko karibu sana na wake zetu wako karibu sana na watoto wetu pia.

Bahati mbaya hadi tunatawabyika usiku huu, rafiki yangu alikuwa hajafika kwani alisema amepata dharura ofisini kwake. Mke wake hakutaka kuamini kuwa kuna dharura na alihisi mme wake ana kidate.

Namjua rafiki yangu kwa totoz haaminiki hivyo sikutaka kucomment juu ya hilo nikataka nipotezee. Mke wangu akashtuka akasema unapotezea nini pengine unajua yuko huko kwa mademu zake, mnafichiana siri nyie.

Sasa ndo ukaibuka mjadala kuhusu kucheat.

Sheneji yangu ajasena yaani ili ukae na mwanaume bila pressure na wewe uwe na mambo yako. Lakini ukijidai mwaminifu kwenye ndoa nakuambia utaishia kuwa na pressure na ndoa itakushinda.

Mke wangu akadakia, nakuambia hata mimi nimeshajifunza hivyo. Zamani nikiona wamama walio okewa wanatoka nje za ndoa zao nilikuwa nawashangaa na nawaona wa ajabu wasio na heshima lakini sasa nimejifunza.

Subiri tu nimalize kulea. Tutapisha guest nakwambia. Ya nini kujipa pressure ya bure. Mwisho wa kunukuu.

Ni majuzi tu mke wangu alikuta meseji ya mapenzi kwenye simu yangu. Ingawa ki ujweli huyo dada sitoki naye ni tumekywa tuki flit na yeye. Nikajaribu kumuekewesha mke wangu hakuekewa. Nikamuomba msamaha. Lakini inaelekea aba donge moyoni.

Nilichojifunza ni kwamba wanaume tunapoiba wakati mwingine tunafikiri wake zetu hawajagundua, kumbe wana kausha tu kwani ngoma inakuwa draw. Tafakari na uchukue hatua.

Na sishangai kama ushabambikiwa na mtoto hapo. Ukija na kujua unalea mtoto wa kibaba mwenzio ndio utatia akili. Hawa wanawake wana maanisha wanachosema. Kua makini. Moshi pande zetu huko nilishuhudia kisa flan...baba mtu akipasuliwa jipu na mke wake kwamba mtoto anaetaka kumuozesha sio wake na kwamba hana mamlaka ya kupokea mahari ya huyo binti. Kila mtu alichoka na kuguna sana siku hiyo, watu walikua wapolee kama wamenyeshewa na mvua. Mwanamke alipasua hilo jipu baada ya kuona mme wake anatoka sana nnje ya ndoa. Noma Sanaaaa !!!!
 
wanawake wenzangu msithubutu KUACHANA NA WAUME ZENU KISA KIDUMU,TUNAGANDANA HIVYO HIVYO HAACHWI MTU HAPA.
NASEMA HIVI MAANA WANAWAKE TUNAKONDA KWA STRESS ZA VIMADA SAA NYINGNE HADI KITUKANWA,TUNASHUTIWA KWA RISAS NA FAMILIA ZETU PIA,TUNAKONDA KWA WIVU,UGOMVI KILA SIKU.
UKIFA WANAO UTAMWACHIA NANI?WAZAZ JE?UNAJIFANYA KULIA WWEE MWENZIO NDIO KWANZA ANAJIACHIA UKO NJUU NA LIKITAMBI LINAONGEZEKA.
FURAHA IKO MIKONONI MWAKO!NANI ALISHAWAH KULIA MUMEWE AKAACHA KUTOKA NJE?TENA NDIO ANAFIRAHI.
WENYE MAWASLIANO NA MAEX WAKATI NDIO HUU USILIE CHUKUA SIMU AND ASK FOR A DATE.
AMBAO HAMNA MAWASILIANO TAFUTA YATATBU ALAFU UONE KAMA AFYA HAIJARUD.
CHONDECHONDE CONDOM CONDOM OR KAMPANI NA HUG VINATOSHA MKITAKA KUJIVINJAR ZAIDI KUA.
STRCTLY;MARRIED COUPLE ONLY

ukiachwa ni kiherehere.......... Fursa ndani ya ndoa kibao......... Oleweni mkiwa mmejiandaa msistukizwe mkakimbilia kunywa sumu au kubeba mabegi........ Inahuuu
 
Back
Top Bottom