Comment ya mke wangu imenifumbua macho.

Comment ya mke wangu imenifumbua macho.

Sio kweli dawa nikufuata maagizo ya Mungu, je!! Anasema nini kuhusu ndoa zetu?.
 
Hahahaaha chezeiya phd wewe? Twende pm kwanza nna umbea wa moto huo, tukidakwa ban ya maisha inatuhusu lol
Wanapenda kuweka watu roho juu, afu wao wakiwekwa roho juu hawana hata vifua kama sisimizi
Mie kwa roho juu nimegradueti
 
mzinzi haendani ila na mzinzi mwenzie.
 
Aisee, this thread is some eye opener.

Wadogo zangu Mashaxizo na mwekundu na birthday boy Rural Swagga kujeni huku musikie wake za watu wakifunguka halafu mtu akushauri HARUSI!

Noooo, not that I am blind to cheating men nor do I condone such behaviour but kama this is the solution!!!!:A S-confused1:
Mentor... Sea Breeze katisha sana eti "can the side mirror stop the engine from driving a car?" hahaha cheka sana ...Soma na Signature yake sasa hahahaha
 
Last edited by a moderator:
 
Last edited by a moderator:
hapo kwenye bold! hivi unafikiri hawa wadada wanaoongea haya hawapo vizuri kiuchumi? tena nafikiri cheating inauma sana kama mwanamke upo vizuri kiuchumi, maana unajiuliza sbb ya kuendelea kuwa mke mwema na kumnyenyekea mtu asiyekuheshimu wkt humtegemei kwa karibu kila kitu.
tatizo ni kwamba, maamuzi ya kumuacha mtu ni magumu, na wkt mwingine unafikiria umuache halafu uende wapi wkt na wtt mshazaa? yanini kutesa wtt

Well said Venine!! Umesema kweli my best friend! Watoto na mtazamo wa jamii kuhusu kumuacha mume mzinzi endapo mwanamke una kipato kikubwa!
Jamii itakunyooshea kidole na kusema kiburi cha fedha au usomi! So its better ubakie na mzinzi wako huku ukijipooza nafsi na anayekujali pembeni!
 
venine,
usiniambie ati ili usiwatese watoto uta risolve kwenye cheating. Mbona unajidanganya? A problem will never solve a problem dear. Unaonaje, huyo mwizi akakupa cha zaidi ya huko home. Kwanza si ajabu umemaliza 60 dys hujui jamaa ni yule mume au wamekuletea msukule kwani hata kujisahau akauweka mguu ju yako hujausikia tena. Utatakapa mpata huyu bingwa wa matibabu yako hayo, Yule uliyezaa naye watoyii 2 naye akazidi harrasments, hivi huyu mwizi akikupa idea ya kumwondoa utachelewa weye?? Dhambi ya ku cheat haikai yenyewe, itafuatwa na hate na killings ndiyo humaliza yote.
Bado ushauri wangu ni Usijaribu ku cheat ukiwa bado unalala kwake. Ondoka mapema hata ujitetee kuwa upo kwako.

Aondoke mapema aende wapi? Kama Nyumba kaijenga yeye au kapanga yeye mwanamke aikimbie sababu ya mume kicheche?
Au amfukuze?
Isitoshe unaposema kuna fursa kibao za kujiendeleza huko nje mbona wanawake wengi huko ni maskini wameshindwa nini kuzitumia fursa hizo?
 
Back
Top Bottom