Comment ya mke wangu imenifumbua macho.

Comment ya mke wangu imenifumbua macho.

alichoongoe mkeo na shemejio ni ukwel kabisa.. mwanaume akianza kucheat huwa anabadilika, hata ratiba yake ya kurudi home inabadilika, kwa mwanamke makini atahisi tu na ndio sababu ya kuanza kumfatilia mpaka kwenye simu yake.
ukimuuliza mwanaume atafanya kama ulivyofanya kwa mkeo, oh ni rafiki wa kawaida, mara tupo ofc moja, ukibanwa sana utaishia kuomba msamaha lkn ukweli ni huwa hamuwaachi hao wanawake

wanawake wamejikuta na wao wanatafuta wa kuwaliwaza either kwa kulipa kisasi au kujipunguzia hizo pressure na ukiwa. mbaya ni pale atakapompata either anayembembeleza au mwenye maujuzi au mahela kuliko wewe. hamna rangi utaacha kuona aisee.

ongea na mkeo, na muonyeshe kama huna hiyo tabia, otherwise akimaliza kunyonyesha atafanya alichokusudia

Venine you said it correctly!!!! Wanawake hatuna tabia ya kucheat by nature......... ila tunafanya hivyo endapo tutagundua wanaume wetu wametucheat na hawakomi kuacha tabia hiyo. Haswa wakiwa na siri kwenye simu,, wakichelewa kurudi nyumbani, alafu dose haipatikani inavyotakiwa........ mbaya zaidi ATM haisomi vizuri......
Yaani Venine umemaliza, like like like!!!!
 
I think I love my wife..

Don't be so sure baba V, endapo umeshawahi kucheat na akajua..... Au una mficha simu yako, ....... mazingira unayajenga mwenyewe bila kufahamu!
 
Nataka nimuoe niliyemzidi ujanja,nim cheat vizuri!!
Hiyo ngoma draw unaweza bambikiwa mtoto kidume-cheating ya mwanamke ni hatari sana ukiilinganisha na ya mwanaume ambayo haina madhara zaidi ya kuosha tu "rungu"

My dear Mwekundu, "kitanda hakizai haramu"...... vile umepania kucheat vizuri, ndipo utakapoangukia kwa "somo wa kucheat"
 
Wanandoa mna kazi...amueni muishi kwa uaminifu bhana! Mwisho wa siku wote mmeshalikwaa, hakuna wa kumsaidia mwenzake sembuse watoto wenu ambao watakuwa yatima watarajiwa! STOP IT NOW.
 
Wanandoa mna kazi...amueni muishi kwa uaminifu bhana! Mwisho wa siku wote mmeshalikwaa, hakuna wa kumsaidia mwenzake sembuse watoto wenu ambao watakuwa yatima watarajiwa! STOP IT NOW.

Neno.
Shida kuna watu wanaona wao wana haki ya kucheat kwakuwa wako programmed hivyo, ila wanasahau huyo anayecheat naye pia naye anacheat.
 
Venine you said it correctly!!!! Wanawake hatuna tabia ya kucheat by nature......... ila tunafanya hivyo endapo tutagundua wanaume wetu wametucheat na hawakomi kuacha tabia hiyo. Haswa wakiwa na siri kwenye simu,, wakichelewa kurudi nyumbani, alafu dose haipatikani inavyotakiwa........ mbaya zaidi ATM haisomi vizuri......
Yaani Venine umemaliza, like like like!!!!

ume-generalize mno, wapo wanawake wenye tabia ya kuwa na wanaume wengiwengi hata kama wapo kwenye ndoa. Nawafahamu waume wengi ambao wanaheshimu ndoa zao lakini kwa hao wote wanawake zao ndio ma cheater, na baadhi wameshaambukizwa ukimwi na wake zao, pia wake zao washafariki jamaa wanaishi kwa dawa.
Suala la ku cheat halina mwanaume wala mwanamke, ukitaka kujua hilo ishi kwenye nchi ambazo mwanamke na mwanaume wamepewa uhuru sawa kila mmoja.
 
Wanandoa mna kazi...amueni muishi kwa uaminifu bhana! Mwisho wa siku wote mmeshalikwaa, hakuna wa kumsaidia mwenzake sembuse watoto wenu ambao watakuwa yatima watarajiwa! STOP IT NOW.

Utamu wa ngoma ni shurti uicheze lol! Ingia uone utamu wa kucheza midfield lol! Ukiwa nje ya uwanja ni rahisi sana kunyooshea wachezaji vidole wamekosea hawajui kucheza mpira..... refa naye anapendelea......... vaa jezi kijana ingia uwanjani!!!
 
ume-generalize mno, wapo wanawake wenye tabia ya kuwa na wanaume wengiwengi hata kama wapo kwenye ndoa. Nawafahamu waume wengi ambao wanaheshimu ndoa zao lakini kwa hao wote wanawake zao ndio ma cheater, na baadhi wameshaambukizwa ukimwi na wake zao, pia wake zao washafariki jamaa wanaishi kwa dawa.
Suala la ku cheat halina mwanaume wala mwanamke, ukitaka kujua hilo ishi kwenye nchi ambazo mwanamke na mwanaume wamepewa uhuru sawa kila mmoja.

Siyo kawaida sana kwa wanawake kucheat,........ hao unaowaelezea ni wachache ukilinganisha na idadi ya wanaume wanaofanya hivyo!!!!
 
wanawake wengi wanakua waaminifu lakini wanaume wengine nao sio,halafu wanakua wakavu wengina hata msamaha hawaombi wanajitia mara kakununulia zawadi lakini kupiga goti au kukwambia mke wangu nimekosea nisamehe anaona kama amejivua nguo uwanja wa taifa... ndio mana wanatendwa kiasi chao....
 
Tumia nafasi yako kama mwanaume hapo kijana wangu mwambie asifanye hvyo na ww uache hyo tabia mtaleteana magonjwa

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
wanaume wakati mwingine wanakera sana.
unaweza kupata presha na kulia kila siku.
mwingine anaweza akawa anarudi manane ya usiku au hata hali home.
solution ni titi for tati,ukijipatia kidumu chako full burudani.
 
bila kupata kidumu wanawake wenzangu utakufa siku si zako.
solution ni kidumu tena ikiwezekana mkapime kabisa na kidumu awe mtu mzima kidogo ili ukiamua kuacha msianza kugandana.
 
^^
Eiyer Mapenzi yamefika pabaya siku hizi,kuondoa presha inabidi tufungue ushirika wa mapenzi..ukiona wako ni wangu ukiona wangu ni wako! Ya nini kupishana nyumba za wenyeji (kama ulivyowahi kuziita)
tupeane shift vitandani mwetu tu
^^
 
Last edited by a moderator:
bila kupata kidumu wanawake wenzangu utakufa siku si zako.
solution ni kidumu tena ikiwezekana mkapime kabisa na kidumu awe mtu mzima kidogo ili ukiamua kuacha msianza kugandana.

^^
Vidumu naona vidogo..mgechukua SIMTANK kabisa, Kukomoana ni mbinu ya wanandoa dhaifu.
^^
 
Wanandoa mna kazi...amueni muishi kwa uaminifu bhana! Mwisho wa siku wote mmeshalikwaa, hakuna wa kumsaidia mwenzake sembuse watoto wenu ambao watakuwa yatima watarajiwa! STOP IT NOW.

well said darling!!!!
 
Back
Top Bottom