Comment ya mke wangu imenifumbua macho.

Comment ya mke wangu imenifumbua macho.

Angalizo............ Ukicheat usimdharau mumeo, usimuonyeshe kiburi, usitoe siri za ndani, ukiombwa unyumba jitume haswa, hata kama husikii utamu, jifanyishe umekojoa vinne lol, usichelewe kurudi home. Usiwaeleze mashosti mambo yako.... Usipigwe picha za utupu, usiende na gari yako, ipaki sehemu chukua taxi. Kama anauwezo kuna ma appartments town kwa ajili hiyo lolests
hahahahaha! wacheze salama eti!
 
Nataka niseme hivi, Kama kuna kosa mnalofanya wanandoa wa siku hizi ni ku cheat. Hakuna rangi hutaiona ukianza tu ku cheat.
Mwanamke lazima uelewe kuwa wewe ni "Shamba" ukipanda mbegu itaota kwani lina rutuba. Sasa, unaporuhusu mtu kuja kuotesha mbegu hapo, wewe unadhani una akili nzuri kweli? Mengi yanakuingia weye mama, zile mb.egu za yule mtu ni uhai wake ulee. Muumba ndiye aliumba hivyo. Sasa unapoamua kuupokea uhai wa huyu na yule na yule weye una akili kweli? Hapa nawahoji wale wa mama wanaoshabikia ujinga huu. Kama una akili, hutakubali kubadili damu za watu kila mara.
Magonjwa je? Haya, dharau je? Mwanaume anatamani aku do tu, ajisikie kuwa huyu ni wa 20 baasi. Hana lolote zaidi. Haswa akiwa na mke tayari hana chochote awezacho kukifanya zaidi. Weye ukiwa mke wa mtu, bahati mbaya mumeo awe mtu mtaratibu asiyetaka ugomvi, hicho kidume kitataka kumfedhehesha popote anapomwona. Huyu atakuletea kifo mara moja.
Wababa, wakikuta labda huyo mwanamke ni ghali kidogo, wanajitutumua mpaka wanafilisi nyumbani. Kilio cha ile familia kitakukuta tu. Mwosha huoshwa!!
Hakuna cheating njema hata kidogo. Yule uliyempenda ukamtwaa awe wako, nasema kamwe HAZEEKI. Nimepima na nimeona. Miaka sasa ni 40 na huyu wangu na kila siku namwona mpya. Kama ni ushamba acha uwe nami naukubali. Mind yu, before her, I can not count them lakin hapa nimefika.
 
Hahahahahaha yaani unazidi kuwatia hasira wanaume

Wajue ni jinsi gani tunaumia wanapotudhalilisha....... Boxer tuwafulie, tuwaandalie maji ya kuoga, halafu wakagawe utamu wetu nje....... Kwasababu sisi mioyo yetu ya chuma eeee? Tunaweza vumili eeeee........ Haaaaa ni mama zetu walivumilia kubeba mazigo ya misumari tena ya moto enzi hizooo...... Siye tumelelewa na cerelac na lactogen hatuweeeeeeeezi..................

shosti mwingine unanyoa hadi vuzi na nguo unaloweka toka jioni asubuh wafua ili hubby angare malipo kufungua zip.
UKINIKIMATA AU KUNIFUMANIA NIMETAKA,COZ WOMEN WE ARE VERY SMART SI WEWE UMEPATA SMALL HOUSE HATA KULA HONE TENA HUTAKI.FULL KUNUNA.KURUDI MAJOGOO.
WENZIO TUNACHEZA KWA AKILI SANA.UKIMPATA NDIO UNAZIDISHA MAPENZI.
 
mhhh mkeo kiboko!!!ningekua mimi ningesubiri uondoke ndo niseme...au mkeo hakuogopi au kukuheshim???

Asipo sema kwa uwazi ningejuaje kuwa na yeye anaweza? Mimi na mkevwangu ni marafiki sana. Wakati mwingine urafiki huzidi mme na mke. Nafikiri alitaka kunipa wsrning kwa njia hiyo...na kwa kuzingatia michango ya wanajamvi hapa. Bila shaka nitazaliwa upya. Tunaheshimiana lakini hatuogopani.
 
mi nafurahi sana mwanaume akiwekwa roho juu. mmezidi unyanyasaji wa kisaikolojia.sasa kama msg ulikuwa unaflirt tu, si na mkeo ataflirt tu jamani?

I promise to the woman that I will marry,,,! I wont cheat.. maybe it happen for a reason!
 
^^
Si kila mwanaume ana harsh psychology ya kumtreat mwanamke! Mental torture inakutosha.
Btw Unayafanya hayo ukiwa unajua una mume wa aina gani. Ukiwa na wa aina yangu Utaondoka bila kufukuzwa.
^^

jidanganye wewe.
hivi unamjua mwanamke aliyesema ENOUGH.IS ENOUGH!!!!!!USIOMBE.
UTAMGUNDUA BAADA YA MIAKA MITANO SI CHINI YA HAPO.
 
Asipo sema kwa uwazi ningejuaje kuwa na yeye anaweza? Mimi na mkevwangu ni marafiki sana. Wakati mwingine urafiki huzidi mme na mke. Nafikiri alitaka kunipa wsrning kwa njia hiyo...na kwa kuzingatia michango ya wanajamvi hapa. Bila shaka nitazaliwa upya. Tunaheshimiana lakini hatuogopani.
kama mkeo ameweza kusema mbele yako hayo maneo, trust me, she wont cheat you!
 
isiombe mwanamke aseme PO.
nyie si mnafanya wanawake ni MISUKULE!!!
Kumbe wana akili kuzidi hata nyie.
AKISEMA PO.umeliwa.
 
usiombe mwanamke aseme PO.
nyie si mnafanya wanawake ni MISUKULE!!!
Kumbe wana akili kuzidi hata nyie.
AKISEMA PO.umeliwa.
 
jidanganye wewe.
hivi unamjua mwanamke aliyesema ENOUGH.IS ENOUGH!!!!!!USIOMBE.
UTAMGUNDUA BAADA YA MIAKA MITANO SI CHINI YA HAPO.

^^
Sijui ila natambua kuwa heri uishi na nyoka ndani kuliko kuishi na mke mwovu.Na sio kwamba sijaona Nimeona kwa macho yangu ila kweli nakwambia..
Mwanaume ana sababu hali kadhalika Mwanamke.. Kuonyeshana umwamba kwa kutoka nje ya ndoa. Vunjeni ukimya na visasi msemezane.. kubwalamaadui Mke asiwe adui Mume asiwe adui.
'..The fire you candle for your enemy burns you more than him..'
^^
 
Last edited by a moderator:
^^
Hiyo methali si mahali pake.. Kuchapwa chapwa tu ikibidi lala huko,,tena usiwatoze ushuru si unakomoa?
Furaha ya ndoa ni kuzungumza tofauti zenu na sio kwenda kuwa kinu au mwichi nje ya kitanda halali.
Magonjwa hayana staha.
^^

am sorry my dear, ukisoma hapo nyuma nimesema tunavumilia weeeee tunapelekana kwenye vikao weeee, tunaongea weee mwisho tunaonekana tuna gubu.....
Kucheat ni last if not least soltn..... Kama unarekebishika,, hilo ni jambo la heri,
lakini utakuta dume lingine gumegume lililoshindikana na mitume........ Unalifanyaje na tayari lishakuzalisha watoto, limekuchujisha na halikutunzi....... Tunabeba mengi. Pole sana kwa kukwazika. Tunawaeleza ukweli ili mfaham namna bora ya kuishi na wake zenu, msiwafanyie ubabe mtavuna mabua...........
 
isiombe mwanamke aseme PO.
nyie si mnafanya wanawake ni MISUKULE!!!
Kumbe wana akili kuzidi hata nyie.
AKISEMA PO.umeliwa.

ha ha ha haaaaaaa chezeya misukule weye........ Imetekwa lakini inapiga kazi mbaya......... Imetajirisha watu wengi.......
 
Nataka niseme hivi, Kama kuna kosa mnalofanya wanandoa wa siku hizi ni ku cheat. Hakuna rangi hutaiona ukianza tu ku cheat.
Mwanamke lazima uelewe kuwa wewe ni "Shamba" ukipanda mbegu itaota kwani lina rutuba. Sasa, unaporuhusu mtu kuja kuotesha mbegu hapo, wewe unadhani una akili nzuri kweli? Mengi yanakuingia weye mama, zile mb.egu za yule mtu ni uhai wake ulee. Muumba ndiye aliumba hivyo. Sasa unapoamua kuupokea uhai wa huyu na yule na yule weye una akili kweli? Hapa nawahoji wale wa mama wanaoshabikia ujinga huu. Kama una akili, hutakubali kubadili damu za watu kila mara.
Magonjwa je? Haya, dharau je? Mwanaume anatamani aku do tu, ajisikie kuwa huyu ni wa 20 baasi. Hana lolote zaidi. Haswa akiwa na mke tayari hana chochote awezacho kukifanya zaidi. Weye ukiwa mke wa mtu, bahati mbaya mumeo awe mtu mtaratibu asiyetaka ugomvi, hicho kidume kitataka kumfedhehesha popote anapomwona. Huyu atakuletea kifo mara moja.
Wababa, wakikuta labda huyo mwanamke ni ghali kidogo, wanajitutumua mpaka wanafilisi nyumbani. Kilio cha ile familia kitakukuta tu. Mwosha huoshwa!!
Hakuna cheating njema hata kidogo. Yule uliyempenda ukamtwaa awe wako, nasema kamwe HAZEEKI. Nimepima na nimeona. Miaka sasa ni 40 na huyu wangu na kila siku namwona mpya. Kama ni ushamba acha uwe nami naukubali. Mind yu, before her, I can not count them lakin hapa nimefika.

hakuna mwanamke anayejiheshim hata mmoja anacheat kwa kupenda.
wanawake wangapi wanajufa na kudhoofika sababu ya cheating za wanaume?,wengine hawawez kuhandle mamy.
HE IS NOT THERE FOR YOU WHEN YOU NEED HIM.
HALI NYUMBANI EVERYDAY.
BADO DHARAU
UNYUMBA NDIO USISEME
WENGINE WATOTO KARIBU WAMSAHAU
MATUS TOKA KWA KIMADA.
unavuliaga tu na bado ukifa na rambirambi anapewa bila haya.
why ufe?soln find a man who will b there for you hata msipofanya sex atleast upate sehemu yakulilia na kufarijiwa,utaona maisha mazuri sana.
 
am sorry my dear, ukisoma hapo nyuma nimesema tunavumilia weeeee tunapelekana kwenye vikao weeee, tunaongea weee mwisho tunaonekana tuna gubu.....
Kucheat ni last if not least soltn..... Kama unarekebishika,, hilo ni jambo la heri,
lakini utakuta dume lingine gumegume lililoshindikana na mitume........ Unalifanyaje na tayari lishakuzalisha watoto, limekuchujisha na halikutunzi....... Tunabeba mengi. Pole sana kwa kukwazika. Tunawaeleza ukweli ili mfaham namna bora ya kuishi na wake zenu, msiwafanyie ubabe mtavuna mabua...........

^^
Nimekuelewa sasa! Je yapi yatakuwa matokeo ya kukomoana? Mke wa mjomba wangu aliwahi kufikiri sawa na unavyosema.. Katika ndoa ya miaka 31 alimsaliti mjomba kiasi cha kuvunja ndoa na kumwachia watoto mjomba. Siku anaondoka alisema mumewe si msikivu hamjali na hampendi despite 31 years of marriage..
Sasa ni mwaka wa 4 anaishi na V.V.U mjomba yupo salama anatunzwa na watoto wake,,huku mke wa mjomba mwanaume aliyemhadaa na kumpa visingizio hivyo alimtoroka miezi 3 tu akimwachia taarifa ya uathirika.
(WOMEN STOP MYOPISM)
^^
 
jidanganye wewe.
hivi unamjua mwanamke aliyesema ENOUGH.IS ENOUGH!!!!!!USIOMBE.
UTAMGUNDUA BAADA YA MIAKA MITANO SI CHINI YA HAPO.

mhhh mwingine na watoto wa nje analeta na unalea wewe....... Chezeya the strenght of a woman! Usiombeeeeeee........... Tabora tayari mume alitaka kujirestisha in peace leo......
 
^^
Nimekuelewa sasa! Je yapi yatakuwa matokeo ya kukomoana? Mke wa mjomba wangu aliwahi kufikiri sawa na unavyosema.. Katika ndoa ya miaka 31 alimsaliti mjomba kiasi cha kuvunja ndoa na kumwachia watoto mjomba. Siku anaondoka alisema mumewe si msikivu hamjali na hampendi despite 31 years of marriage..
Sasa ni mwaka wa 4 anaishi na V.V.U mjomba yupo salama anatunzwa na watoto wake,,huku mke wa mjomba mwanaume aliyemhadaa na kumpa visingizio hivyo alimtoroka miezi 3 tu akimwachia taarifa ya uathirika.
(WOMEN STOP MYOPISM)
^^

come on boy, dont be so naive! Hiyo VVU inaletwaga na wanawake tuu? Yaweza letwa na mwanandoa yeyote, hiyo ya aunt yako ni ajali kazini.
Afterall zana zipo, na kupima mnapima.
Bado haileti justification ya ninyi kucheat halafu mu expect sisi kuwa humble to unfaithfully hubbies.........
Bado sanaaaaaa.
We cheat responsibly, kupima afya na mpango wa kando, na kutumia kinga.......
 
come on boy, dont be so naive! Hiyo VVU inaletwaga na wanawake tuu? Yaweza letwa na mwanandoa yeyote, hiyo ya aunt yako ni ajali kazini.
Afterall zana zipo, na kupima mnapima.
Bado haileti justification ya ninyi kucheat halafu mu expect sisi kuwa humble to unfaithfully hubbies.........
Bado sanaaaaaa

^^
Nasumbua akili yangu hapa..
Keep on cheating And In God's time you will be rewarded
^^
 
hakuna mwanamke anayejiheshim hata mmoja anacheat kwa kupenda.
wanawake wangapi wanajufa na kudhoofika sababu ya cheating za wanaume?,wengine hawawez kuhandle mamy.
HE IS NOT THERE FOR YOU WHEN YOU NEED HIM.
HALI NYUMBANI EVERYDAY.
BADO DHARAU
UNYUMBA NDIO USISEME
WENGINE WATOTO KARIBU WAMSAHAU
MATUS TOKA KWA KIMADA.
unavuliaga tu na bado ukifa na rambirambi anapewa bila haya.
why ufe?soln find a man who will b there for you hata msipofanya sex atleast upate sehemu yakulilia na kufarijiwa,utaona maisha mazuri sana.

umempa ukweli.... Nini kuhug mpaka luv making.....
 
Back
Top Bottom