Comment ya mke wangu imenifumbua macho.

Comment ya mke wangu imenifumbua macho.

wanawake %kubwa wanachiti
kulipa kisasi,dawa ya moto........!!!
napita tu!!
 
hakuna mwanamke anayejiheshim hata mmoja anacheat kwa kupenda.
wanawake wangapi wanajufa na kudhoofika sababu ya cheating za wanaume?,wengine hawawez kuhandle mamy.
HE IS NOT THERE FOR YOU WHEN YOU NEED HIM.
HALI NYUMBANI EVERYDAY.
BADO DHARAU
UNYUMBA NDIO USISEME
WENGINE WATOTO KARIBU WAMSAHAU
MATUS TOKA KWA KIMADA.
unavuliaga tu na bado ukifa na rambirambi anapewa bila haya.
why ufe?soln find a man who will b there for you hata msipofanya sex atleast upate sehemu yakulilia na kufarijiwa,utaona maisha mazuri sana.

Kweli nimekuudhi, Samahani sana na Pole sana Dear, Lo! We kubwa lao. Dear, ukisema unamkomoa ni wewe unajikomoa. Huyo mwizi wako ni mwizi tu hawezi hata siku moja akakulaza kwake. Faraja ya masaa ikusaidie nini? Hayo matusi ya hawara yataisha kwa weye ku cheat? Samahani dear nikuulize tu unabeba mbegu kutoka hukoo unakuja lala nazo huku ati leo nimemkomesha!!! Haingii akilini. Hujamkomesha bali wewe umejikomesha.
Hayo madume hovyo namna hiyo hayafai ukae nayo hata wiki moja. Tatizo la wamama wengi ni kule kufutwa uwezo wa kufikiri haraka mno unapo olewa. Waangalie wenzako, siku hizi mna fursa nyingi tuu za kujiendeleza kiuchumi. Kimbia ukakae mbali na yeye. Ukiibuka kiuchumi tu, atakujia kwa magoti. Nenda kajifariji huko na huko akufumanie ndiyo utausikia vizuri huo muziki. Kama wa ala au Bongo fleva
 
Hakuna mapenzi ya kugandana kuna siku tulitofautiana na wife nikamwambie simuamini hata kidogo wala hakubisha nae alinijibu kuwa haniamini! Wake zetu wanacheat ila kwa siri sana ila sie wanaume tunafikiri kucheat ni halali wala hatuna wasiwasi hilo ndo linalotuponza
alichoongoe mkeo na shemejio ni ukwel kabisa.. mwanaume akianza kucheat huwa anabadilika, hata ratiba yake ya kurudi home inabadilika, kwa mwanamke makini atahisi tu na ndio sababu ya kuanza kumfatilia mpaka kwenye simu yake.
ukimuuliza mwanaume atafanya kama ulivyofanya kwa mkeo, oh ni rafiki wa kawaida, mara tupo ofc moja, ukibanwa sana utaishia kuomba msamaha lkn ukweli ni huwa hamuwaachi hao wanawake

wanawake wamejikuta na wao wanatafuta wa kuwaliwaza either kwa kulipa kisasi au kujipunguzia hizo pressure na ukiwa. mbaya ni pale atakapompata either anayembembeleza au mwenye maujuzi au mahela kuliko wewe. hamna rangi utaacha kuona aisee.

ongea na mkeo, na muonyeshe kama huna hiyo tabia, otherwise akimaliza kunyonyesha atafanya alichokusudia
 
wanaume wanaona ni haki kucheat na wanaona vizuri kuumiza wake zao ila wao lol.......
 
usisahau ni vizuri kuishi na ma X vizuri...... Huwaga wanasaidia kudumisha ndoa........ Nawashangaa wanaobeba mabegi kurudi kwao....... Wakati fursa ndani ya ndoa zipo kibao......

How old are you?
 
mdang'anye.!
yeye ajiheshimu tu.asipofanya hivyo you should EXPECT UNEXPECTED.
mwanamke hachit kwa kupenda bali ni MALIPIZI.

wonders.... side mirror is fighting against the engine!

can the side mirror stop the engine from driving a car?
 
Aisee, this thread is some eye opener.

Wadogo zangu Mashaxizo na mwekundu na birthday boy Rural Swagga kujeni huku musikie wake za watu wakifunguka halafu mtu akushauri HARUSI!

Noooo, not that I am blind to cheating men nor do I condone such behaviour but kama this is the solution!!!!:A S-confused1:
 
Last edited by a moderator:
Kweli nimekuudhi, Samahani sana na Pole sana Dear, Lo! We kubwa lao. Dear, ukisema unamkomoa ni wewe unajikomoa. Huyo mwizi wako ni mwizi tu hawezi hata siku moja akakulaza kwake. Faraja ya masaa ikusaidie nini? Hayo matusi ya hawara yataisha kwa weye ku cheat? Samahani dear nikuulize tu unabeba mbegu kutoka hukoo unakuja lala nazo huku ati leo nimemkomesha!!! Haingii akilini. Hujamkomesha bali wewe umejikomesha.
Hayo madume hovyo namna hiyo hayafai ukae nayo hata wiki moja. Tatizo la wamama wengi ni kule kufutwa uwezo wa kufikiri haraka mno unapo olewa. Waangalie wenzako, siku hizi mna fursa nyingi tuu za kujiendeleza kiuchumi. Kimbia ukakae mbali na yeye. Ukiibuka kiuchumi tu, atakujia kwa magoti. Nenda kajifariji huko na huko akufumanie ndiyo utausikia vizuri huo muziki. Kama wa ala au Bongo fleva

hapo kwenye bold! hivi unafikiri hawa wadada wanaoongea haya hawapo vizuri kiuchumi? tena nafikiri cheating inauma sana kama mwanamke upo vizuri kiuchumi, maana unajiuliza sbb ya kuendelea kuwa mke mwema na kumnyenyekea mtu asiyekuheshimu wkt humtegemei kwa karibu kila kitu.
tatizo ni kwamba, maamuzi ya kumuacha mtu ni magumu, na wkt mwingine unafikiria umuache halafu uende wapi wkt na wtt mshazaa? yanini kutesa wtt
 
Aisee, this thread is some eye opener.

Wadogo zangu Mashaxizo na mwekundu na birthday boy Rural Swagga kujeni huku musikie wake za watu wakifunguka halafu mtu akushauri HARUSI!

Noooo, not that I am blind to cheating men nor do I condone such behaviour but kama this is the solution!!!!:A S-confused1:

Hahahaha!
Kaka huu uzi, niliuona mapema sana! Nikasema sichangii, na nasubiria comments za ke wenyewe!
...
Si niufungue tena!
Mmh! Kiukweli huu uzi haujengi hata kidogo!!!!!! Unakatisha tamaa na kutoa false assumption hata kwa wale ke waliotulia!
...
Kaka wacha nizeeke-zeeke kwanza!
 
Last edited by a moderator:
Neno.
Shida kuna watu wanaona wao wana haki ya kucheat kwakuwa wako programmed hivyo, ila wanasahau huyo anayecheat naye pia naye anacheat.

...Na hapo ndipo panazalika kile kiitwacho "mtandao wa ngono"!
 
hapo kwenye bold! hivi unafikiri hawa wadada wanaoongea haya hawapo vizuri kiuchumi? tena nafikiri cheating inauma sana kama mwanamke upo vizuri kiuchumi, maana unajiuliza sbb ya kuendelea kuwa mke mwema na kumnyenyekea mtu asiyekuheshimu wkt humtegemei kwa karibu kila kitu.
tatizo ni kwamba, maamuzi ya kumuacha mtu ni magumu, na wkt mwingine unafikiria umuache halafu uende wapi wkt na wtt mshazaa? yanini kutesa wtt

venine,
usiniambie ati ili usiwatese watoto uta risolve kwenye cheating. Mbona unajidanganya? A problem will never solve a problem dear. Unaonaje, huyo mwizi akakupa cha zaidi ya huko home. Kwanza si ajabu umemaliza 60 dys hujui jamaa ni yule mume au wamekuletea msukule kwani hata kujisahau akauweka mguu ju yako hujausikia tena. Utatakapa mpata huyu bingwa wa matibabu yako hayo, Yule uliyezaa naye watoyii 2 naye akazidi harrasments, hivi huyu mwizi akikupa idea ya kumwondoa utachelewa weye?? Dhambi ya ku cheat haikai yenyewe, itafuatwa na hate na killings ndiyo humaliza yote.
Bado ushauri wangu ni Usijaribu ku cheat ukiwa bado unalala kwake. Ondoka mapema hata ujitetee kuwa upo kwako.
 
Me wakati mwingne naona bora kuleteana magonjwa kuliko kuletewa,uko tu ndan umetulia na ukijtuma kama mke mwema wakat nje mwanaume anafanya yake..

ubora wake upo wapi?
 
Back
Top Bottom