Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
bila kupata kidumu wanawake wenzangu utakufa siku si zako.
solution ni kidumu tena ikiwezekana mkapime kabisa na kidumu awe mtu mzima kidogo ili ukiamua kuacha msianza kugandana.
kuwa na kidumu sio suluhisho waweza ukawa nae na bado akakupa stress kuna njia nyingi za kuepuka stress za kucheatiwa.
Jipe uhuru wa nafsi, sitiri uchi!!!!!!!