Comment ya mke wangu imenifumbua macho.

Comment ya mke wangu imenifumbua macho.

Kwa pande zote..you simply have to do it only once...they say that after the first betrayal, there is no other. Mwendo mdundo

CHEAT RESPONSIBLY

Yeah...... CHEAT RESPONSIBLY ndiyo habari ya mjini.......
 
Umenikosha sana kubwa la maadui......... kidumu kiwe mume wa mtu lol utaenjoije???? Kina stress kwa mkewe huko, mahabati kinajua na ATM inasomeka......... mbona wivu wa kijinga wa kumpekua mumeo mara simu mara umekula wapi, utausikia JF tuu!!
Ila cheating lakini responsibly!!!!

umeona ehe.
no wivu na hamna kukosa hamu ya kula kila siku.
full mi raha.
akiwa na kipesa chake cha kukutoa out,ahhhhh.
nyumba yenu itakuwa na amani,maana hakuna ugomvi wala mambo ya kutafutana.
 
Yaani we ndo umejifunza hilo leo?

Kwanza achana na wao kugundua, ni kwamba hata wao wanachiti sana, tena sana tu.

Hapo ulipo usikute ushachitiwa mara kibao ila we hujui tu kwa sababu kama hili la wanaume kugundulika umelijua leo, hayo mengine je?
Wewe endelea kuwa naive....
Sometimes I hate you then I love you.
 
umeona ehe.
no wivu na hamna kukosa hamu ya kula kila siku.
full mi raha.
akiwa na kipesa chake cha kukutoa out,ahhhhh.
nyumba yenu itakuwa na amani,maana hakuna ugomvi wala mambo ya kutafutana.

Bibi yangu alishawahi kunieleza ili ndoa idumu usimbane sana mume wako, na pia usiwe na wivuuuu kupitiliza mpango wa kando ni muhimu sana. Hutapata stress na magonjwa ya moyo, au kumuwekea sumu akikusaliti....
Ni kweli Bibi aliona mbali sana. Ila alitahadharisha usionyeshe mabadiliko ikiwezekana zidisha mapenzi.....hata kwa kupretend...
Mafiga 3 ni habari ya mjini!!! Wenzetu wa pwani na kusini waliistukia hii mapeeeema..... siye tukiwa tumelazwa usingizi wa pono!
 
Hivi ukimaliza kulea INA maana mtoto anakuwa na umri gani vile?
 
Huyo mke wako safi sanaaaa. Fore warned is fore armed. Mtapishana gesti eeh? Patamu. Ila mtu afate kilichompeleka.
 
asikudanganye mtu dawa ya deprsn ya kuchtuwa miaka na miaka sijui ushaur sijui nini.
uongo mtupu.
DAWA NI KUTAFUTA MTU WA KUKUFARIJI HATA MSIPOFANYA ATLEAST HATA HUG.
UTAISHIA KUFA KWA PRESHA UMRI MDOGO UMWACHE HUYO MWANAUME ANAFAIDI NA HICHO KIMADA.
TAFUTA AGE NZURI NASISTIZA AGE NZURI NA ASIWE KING'ANG'ANIZ UKIMBWAGA BAADAYE.
PIA AWE NA VIJISENTI HATA KIDOGO VYA KUNUNULIA VNYWAJI MKITOKA NA NI VZUR ILA SIO MUHIMU AKIWA NA YEYE ANA STRESS ZA MKEWE.
UTAONA MAISHA YAKO YATAKAVYOKUWA MAZURI.
SEX SIO MUHIMU KAMA MKIDO CONDOM MSISAHAU NA NI VIZUR MKIPIMA.
STRICTLY: KWA WANANDOA TU.
AMBAO HAMJAOA WALA KUOLEWA MSIKUBALI KUTUMIKA NA HAWA WATU WASIJE WAZEESHA BURE NA KUWAARBIA SOKO.
 
Dawa ya moto ni moto....... stress mwisho Chalinze..... mjini stress free zone, wakimwaga ugali tunamwaga mboga lol........

Kumwaga mboga tu haitoshi unamalizia kwa kukanyaga kanyaga kabisa...... unajua hawa wanaume hawaji kama kinachotutuliza nyumbani ni watoto la sivyo wangekoma....
 
asikudanganye mtu dawa ya deprsn ya kuchtuwa miaka na miaka sijui ushaur sijui nini.
uongo mtupu.
DAWA NI KUTAFUTA MTU WA KUKUFARIJI HATA MSIPOFANYA ATLEAST HATA HUG.
UTAISHIA KUFA KWA PRESHA UMRI MDOGO UMWACHE HUYO MWANAUME ANAFAIDI NA HICHO KIMADA.
TAFUTA AGE NZURI NASISTIZA AGE NZURI NA ASIWE KING'ANG'ANIZ UKIMBWAGA BAADAYE.
PIA AWE NA VIJISENTI HATA KIDOGO VYA KUNUNULIA VNYWAJI MKITOKA NA NI VZUR ILA SIO MUHIMU AKIWA NA YEYE ANA STRESS ZA MKEWE.
UTAONA MAISHA YAKO YATAKAVYOKUWA MAZURI.
SEX SIO MUHIMU KAMA MKIDO CONDOM MSISAHAU NA NI VIZUR MKIPIMA.
STRICTLY: KWA WANANDOA TU.
AMBAO HAMJAOA WALA KUOLEWA MSIKUBALI KUTUMIKA NA HAWA WATU WASIJE WAZEESHA BURE NA KUWAARBIA SOKO.

Kwanini niishie kwa Ku hug tu. Kama umeamua Ku cheat please go all the way
If you get caught well you are guilty. And if you don't the memories will keep you happy until you cheat again.
 
Bibi yangu alishawahi kunieleza ili ndoa idumu usimbane sana mume wako, na pia usiwe na wivuuuu kupitiliza mpango wa kando ni muhimu sana. Hutapata stress na magonjwa ya moyo, au kumuwekea sumu akikusaliti....
Ni kweli Bibi aliona mbali sana. Ila alitahadharisha usionyeshe mabadiliko ikiwezekana zidisha mapenzi.....hata kwa kupretend...
Mafiga 3 ni habari ya mjini!!! Wenzetu wa pwani na kusini waliistukia hii mapeeeema..... siye tukiwa tumelazwa usingizi wa pono!

yaan mtu wangu usdharau wakubwa waliona mbali sana.
 
asikudanganye mtu dawa ya deprsn ya kuchtuwa miaka na miaka sijui ushaur sijui nini.
uongo mtupu.
DAWA NI KUTAFUTA MTU WA KUKUFARIJI HATA MSIPOFANYA ATLEAST HATA HUG.
UTAISHIA KUFA KWA PRESHA UMRI MDOGO UMWACHE HUYO MWANAUME ANAFAIDI NA HICHO KIMADA.
TAFUTA AGE NZURI NASISTIZA AGE NZURI NA ASIWE KING'ANG'ANIZ UKIMBWAGA BAADAYE.
PIA AWE NA VIJISENTI HATA KIDOGO VYA KUNUNULIA VNYWAJI MKITOKA NA NI VZUR ILA SIO MUHIMU AKIWA NA YEYE ANA STRESS ZA MKEWE.
UTAONA MAISHA YAKO YATAKAVYOKUWA MAZURI.
SEX SIO MUHIMU KAMA MKIDO CONDOM MSISAHAU NA NI VIZUR MKIPIMA.
STRICTLY: KWA WANANDOA TU.
AMBAO HAMJAOA WALA KUOLEWA MSIKUBALI KUTUMIKA NA HAWA WATU WASIJE WAZEESHA BURE NA KUWAARBIA SOKO.

Ushauri murua sana. Hata wasioolewa huu unawafaa ili ndoa zidumu.
Mwanamke mjanja hashindwi ndoa...... Ndoa ni sanaaa....... take it from me!!!
 
Haina shida nyie pishaneni tu,
ila mleta mada umenikumbusha zenziber he he he ndoa hizi!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
hatari
 
Back
Top Bottom