mi nafurahi sana mwanaume akiwekwa roho juu. mmezidi unyanyasaji wa kisaikolojia.sasa kama msg ulikuwa unaflirt tu, si na mkeo ataflirt tu jamani?
Now that depends on how good you are.
Perfect your skills and you will always be safe.
yes.
ndio maana tumeubwa wanawake,your supozed to know how to balance usisahau familia kama wanaume.
be smart hadi asikugundue atakushangaa tu mbona wife kanawili,mbona furaha sama,kumbee.
wanawake nao wana mioyo.
real am telling you this is the only solution to be happy unlike otherwise your lyng 2 yourself.
KAMATA FULSA TWENZETU
Nataka nimuoe niliyemzidi ujanja,nim cheat vizuri!!
Hiyo ngoma draw unaweza bambikiwa mtoto kidume-cheating ya mwanamke ni hatari sana ukiilinganisha na ya mwanaume ambayo haina madhara zaidi ya kuosha tu "rungu"
yes.
ndio maana tumeubwa wanawake,your supozed to know how to balance usisahau familia kama wanaume.
be smart hadi asikugundue atakushangaa tu mbona wife kanawili,mbona furaha sama,kumbee.
wanawake nao wana mioyo.
real am telling you this is the only solution to be happy unlike otherwise your lyng 2 yourself.
KAMATA FULSA TWENZETU
Cheating ina faida zake sometimes, especially kwetu wadada
kiukweli unayempenda lazima umfatilie na kwa bahati mbaya ukigundua anakucheat itakuuma na kwa kua unampenda huwezi muacha ila ukiangaza pembeni utakuta wale macare taker anakusahaulisha yote na kuurudisha upendo ambao mwenzio ameupoteza, hivyo cheating inafufua roho ya upendo
shost ma X na boss ofisini huwaga wafariji wazuri sanaaaaaaanasisitiza uvumilivu ni mhimu,alianza kucheat na kuchelewa home.muulize kwanza kwa upole angalau mpaka mwaka unapita abadiliki CHAKUFIA!
NA PIA KIDUMU HAUTAKIW KUKURUPUKA KUMTAFUTA NI TARATBU ILI AWE MFARJ KWELI SIO AKULETEE STRESS TENA.
UKIJIPATIA KIDUMU USISAHAU FAMILIA YAKO ZDSHA MAPENZ KWA MUMEO ILI AJISHTUKIE MBONA UNA RAHA SIKU HIZI KUMBE UMEBALANCE EQUTN.
usisahau ni vizuri kuishi na ma X vizuri...... Huwaga wanasaidia kudumisha ndoa........ Nawashangaa wanaobeba mabegi kurudi kwao....... Wakati fursa ndani ya ndoa zipo kibao......
mi nafurahi sana mwanaume akiwekwa roho juu. mmezidi unyanyasaji wa kisaikolojia.sasa kama msg ulikuwa unaflirt tu, si na mkeo ataflirt tu jamani?
shost ma X na boss ofisini huwaga wafariji wazuri sanaaaaaaa
Kwa staili hii hapa hakuna muoaji
usisahau ni vizuri kuishi na ma X vizuri...... Huwaga wanasaidia kudumisha ndoa........ Nawashangaa wanaobeba mabegi kurudi kwao....... Wakati fursa ndani ya ndoa zipo kibao......
Sometimes I hate you then I love you.