Hahahahahaha yaani unazidi kuwatia hasira wanaume
Wajue ni jinsi gani tunaumia wanapotudhalilisha....... Boxer tuwafulie, tuwaandalie maji ya kuoga, halafu wakagawe utamu wetu nje....... Kwasababu sisi mioyo yetu ya chuma eeee? Tunaweza vumili eeeee........ Haaaaa ni mama zetu walivumilia kubeba mazigo ya misumari tena ya moto enzi hizooo...... Siye tumelelewa na cerelac na lactogen hatuweeeeeeeezi..................
^^
Na kweli zitawashinda ndoa!
Mke husemwi,
Akili nyingi kama digrii za profesa Anyang'i Nyong'o,
Penzi lina ratiba,
Unajichekesha ofisini ili utongozwe kwa kisingizio cha kutoridhishwa,
KUKOMOANA SIO JAWABU LA NDOA.
Men build house Women makes homes
Behave! Mume atatulia,elimu na madawa ya kishirikina yana mipaka yake
^^