Coming soon: The tallest building in Tanzania?

Invisible

Robot
Feb 11, 2006
9,075
7,878
Video yake nitakuleteeni soon (kesho). I hope hii itabadili sura ya Dar kwa kiasi flani. Ujenzi umekwishaanza. Wenye info zaidi wanaweza kutupatia.

Linajengwa karibu na mataa ya Royal Palm Hotel (ukiwa unaelekea Mwenge/Masaki) jirani kabisa na kituo cha mafuta cha BP.

Litajulikana kama Uhuru Heights

Video:




Images:


i287_Uhuru2.jpg

i288_Uhuru3.jpg


i290_Uhuru5.jpg

i291_Uhuru6.jpg
 
Last edited by a moderator:
Nina malori ya kubeba mchanga sijui nianzie wapi kupata tender ya ku-supply mchanga?
 
Maintenance, maintenance, maintanance! Tutaweza? Umeme ukikatika na wale walio orofa ya hamsini na saba watafanyaje?
 
Ninakerwa sana na uendelezaji wa eneo ambapo mimi napaita mji mkongwe wa Dar es Salaam....

Hakuna maeneo mengine wajameni?????
 
Nina malori ya kubeba mchanga sijui nianzie wapi kupata tender ya ku-supply mchanga?
Contractor yupo site tayari!

Wasiliana nao, nadhani ni Estim Construction.

Kwa upande wa juu linaonekana hivi:

i292_juu.jpg
 
Maintenance, maintenance, maintanance! Tutaweza? Umeme ukikatika na wale walio orofa ya hamsini na saba watafanyaje?

Bado hujaongelea suala la maji (maji safi na maji taka)! Well lakini ni habari njema.
 
1. Hivi CBD ya Nairobi wana standby generators au plan B umeme ukikatika? Na mifumo ya maji je?

2. Taabu kubwa ni trafick..sasa ivi hii barabara ina foleni ya ajabu tayari
 
Mkuu invisible, umeweza kupata list ya owners?? Maana wakati ule 2006 kulikuwa na kale ka rumor kuwa PM wa wakati huo alikuwa anaforce hili jengo kwa maslahi binafsi??
 
Dowans wawauzie hawa jamaa generator yao. Umeme wa kuendesha jengo lote hilo utakuwa balaa tupu.
 
jamani kwani hamna graphics za watu weusi au hilo jengo watakua wanaenda weupe tu

angalia hiyo picha the grand lobby
 
jamani kwani hamna graphics za watu weusi au hilo jengo watakua wanaenda weupe tu

angalia hiyo picha the grand lobby


Copy and paste, jamaa aliyechora kachemsha, hakufikiria hilo jengo linajengwa ambako weusi ni majority.
 
PLEASE GOD NO!!!!!!

What an ugly building. It's 2009 for godsake that building looks like something designed in the 1970's.

Just Horrible!
 
Back
Top Bottom