Coming soon: The tallest building in Tanzania?

hili jengo ina maana linalizidi urefu lile la pale pembeni ya PPF Tower ni jengo la PSPF maana naona kama hilo ndo refu balaa..
 
hili jengo ina maana linalizidi urefu lile la pale pembeni ya PPF Tower ni jengo la PSPF maana naona kama hilo ndo refu balaa..

Lile la PSPF karibu na PPF ni ghorofa 24, ila kuna lingine la PSPF pia limeshaanzwa kujengwa karibia bahari ndio litakua refu zaidi lenyewe ni Twin Tower na litakuwa ghrorofa 35...

Kwa taarifa kamili za ujenzi wa Tanzania, tafadhali karibu ujiunge huku:

DAR ES SALAAM | PSPF House | U/C - SkyscraperCity
 
LAPF wanajenga jingine pembeni ya Millenium Tower pale Kijitonyama, kitu kina urefu ghorofa 36
 
ni kweli hata waingereza hawabadilishi miji yao sisi sijui ushamba hebu chukulia maeneo ya ips palivyo kuwa mwanzo wakati wa miaka 80 na leo
Ninakerwa sana na uendelezaji wa eneo ambapo mimi napaita mji mkongwe wa Dar es Salaam....

Hakuna maeneo mengine wajameni?????
 
Back
Top Bottom