babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,644
- 3,288
Hao jamaa walisalitiana vibaya sana aise
Jaribu kua muelewa basi, aliyesema ni movie ni nani???Nakusoma kote mi nilijua ni simulizi ya kweli kumbe movie
Mkuu! Add me to your Tag listpamoja mkuu ntakua nafanya hivo