COLLAR BOMB ROBBERY: Tukio la wizi wa benki kwa kutumia Bomu lilowaumiza vichwa FBI kwa miaka minne

Niliichelewa hii..hawa wapuuzi wamesalitiana na.mission yao ilifail

Huyu mwanamke ana roho ngumu,sugu na mbayaa kumuua baba yake kisa nali..!!
 
Daah! watu wana akili jamani,ila snitch ni huyo mama kweli kuchonga dili lote hili eti akifanikiwa apate hela akamuue baba yake yy alithi Mali kalefusha matukio bure.
 
e1f2715ac84fcafecf1710214ee14cbe.jpg
 
Kuna watu wana akili za ajabu sana huku duniani......

Nadhani kwenye nchi zenye maendeleo kuna kazi kubwa sana ya kipelelezi maana maendeleo yanaruhusu akili za ajabu kufanya zitakayo....
 
Back
Top Bottom