COLLAR BOMB ROBBERY: Tukio la wizi wa benki kwa kutumia Bomu lilowaumiza vichwa FBI kwa miaka minne

saaaaaaaaaaaaafi mkuu...hizi ndio threads....nilivotulia hapa nasoma.utadhani na mimi nilikuwepo hivi kwenye hilo story
 
Safi sana mkuu, kumbe hawa jamaa wakishahitimisha kesi zao ndio huandika tukio zima na kuliachia mtandaoni!

Sijui kama hapa kwetu wana utaratibu huu ila ingependeza sana kama wangeiga, watu tungepata kujifunza mengi.
 
76 Reactions
Reply
Back
Top Bottom