COLLAR BOMB ROBBERY: Tukio la wizi wa benki kwa kutumia Bomu lilowaumiza vichwa FBI kwa miaka minne

Nimeisoma yote ila nimegundua hawa jamaa wametuzidi kwa kila kitu. Unaingia makubaliano na FBI usishitakiwe tena kwa maandishi na wao wanakubali. Huku bara giza polisi wakikukamata ni kichapo sana. Mfano. Ukaomba lifti kwenye gari kumbe gari lile limebeba bagi au cocaine, halafu likakamatwa na polisi nawe utakuwa mtuhumiwa.
I HATE TO BE BORN IN AFRICA
 
Back
Top Bottom