Investaa
JF-Expert Member
- Jul 3, 2015
- 913
- 923
- Thread starter
- #121
Tupe mfano mmoja baba tupone na Gargabe- Hii inabidi tuichukue kama ilivyo, Kadri ambavyo prompt yako inakuwa vyema ndio jinsi utapata kile unachotaka kiusahihi zaidi.
-Ukiwa na Prompt iliyosukwa vyema hasa ikiwa katika mtindo JSON (Structured), Haikalishi unetumia AI ipi, Utakuta majibu yanalingana kwa asilimia kubwa.
- Sababu prompt husika hairuhus AI model kufanya assumptions, maana prompt inakuwa very specific.